Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Huo nimtego tena mtakua hamkauki pale ustawi wajamii
Tena huko wamejaa pia ambao wametendwa sasa jifanye kama unamwambia mpenzi wako huwaogopi. Ukifika kwanza wanakufanyia kikao cha dharura na ukiitwa ndani kama unahasira unaweza ukajikuta mnahamia polisi kwa shauri jingine jipyaaaa
 
Get yourself medication you are sick AF
 
😁😁😁😁 Dah umetuchana balaa.
Kwahiyo hapo kwa masingle si tulikubaliana mpaka tuoneshwe kaburi lkn?
 
Hii kubwa Sana bro nimeikubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…