Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Mwanamke anaye invest kwenye family hawezi kukukmbia, anavitu vingi vya kupoteza, thats harsh realities of capitalism.
Yupo rafiki yangu alikuwa na gf wake toka 2014, icho kipindi huyo dada alikuwa anasoma,

Wameenda, huyo dada kamaliza chuo maswala ya afya bahati mbaya kakutana na upepo wa kukosa ajira sasa ikabidi jamaa ampambanie apate kibarua private

Hapo wanaishi kwa msela, msela anamlea kama mtoto wake vile.

Baada ya kupata kazi akamchana msela kuwa hajawahi kumsaidia chochote na akamtema.

Hivyo ndivyo wanawake walivyo.
 
Kweli
 
Je kwa kuponda wanawake na kutengeneza defence mechanism tunatatua tatizo?

You can opt to be a fuckboy n.k lakn at sm point in life u gotta settle down. Sasa ukiwa messed up psychologically hii inakua tatizo pia.

Je, what if tukianza mapema kabisa kutengeneza mifumo ndani ya mahusiano ambayo itafuatwa muda wote na wenza wetu? Je hyo sio njia nzuri?

(Angalizo, wanaume wote ni wahanga. No one yuko salama)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…