Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

It takes a woman and a half to have man's attitude.
Kuna vitu ukivipinga kutoka kwa mwanamke ni kupingana na asili ya mwanamke.
Muishi nasi kwa akilii repeat ishi na mwanamke kwa akili.
punguzen ujinga wenzen ulaya sio wanawake
 
You are right, uwezo wa kufanya domestic roles ni main quality ya mwanamke wa kiafrika. House chores kama kupika, kufua, kufanya usafi wa mazingira, kulea. These are tied to women ila sasa cha ajabu sikuhizi most of you women are shunning from your roles.
Hao mafaller sana
Waniazime hao vidume vyao kwa mwezi mmoja tu waone kama wakirudi wataendelea kuwa walivyokuwa
 
Hahahahahah unakuwa muhanga if you let shit in your life. Wengi tunaingia kwenye mahusiano bila kutanabaisha principles zetu mapema.

Wewe ndio amiri jeshi wa maisha yako, don't invite promiscous and selfish women in your lives. Lay down principles ambaye atafeli kumeet vigezo let go. You have to do this multiple times untill you get a person who matches with your puzzle.
Umeongea sahihi kabisa kama hafikii vigezo vyako ni kupiga chini tu.hakuna namna ukisema sijui atabadilika mbele huko ni uongo
 
Na bado atataka kazi za nyumbani afanye zote mwanamke kama kawaida.
Utakaposema tusaidiane, atasema hizo ni kazi za mwanamke wakati wote mmerudi mmechoka, wote mnacontribute kipato equally , ila majukumu ya nyumbani Kufua, kupika, watoto nk yote ni ya mama.

Ni wabinafsi Sana Hawa watu[/QUOTE]
 
Why are you being pessimistic?
Kama unaamini kupigwa ni lazima, why cant we come up na solution juu ya hili.?
Je ni jambo la ujasiri kukimbia matatizo?
Sisi wote tumezaliwa na mwanamke, na kwa kias kikubwa wengi waliofanikiwa kukulia kwenye familia zenye wazazi wote wawili ni watu ambao wanakua bora sana katika maisha yao.
Kwanini leo sisi tuwanyime vizazi vinavokuja hii asali jus because tumeshindwa kuhandle bad experiences zetu?
Huwezi ku solve tatizo kwa kulikimbia, ni kama umelipiga teke tu utakutana nalo mbele 😀😀😀!!!

Waliochagua hii route ndio wale genge la kataa ndoa. Kwamba hakuna sababu ya kuendelea kutafta solution bali shortcut ni kuzaa kama mbwa na kukwepa kuoa.
 
Huduma zote za usimamizi wa mume (ila sio kumtawala)
Huduma zote za usimamizi wa home
Huduma zote za usimamizi wa watoto
Na any mgeni atakayeibuka hapo home...
Kazi kubwa ya mwanamke ni kumkamilisha mwanaume na kutimiza maono ya mwanaume. Mwanamke na Mwanaume wanapokuwa kwenye ndoa wote wanahitajiana ili ku balance, isipokuwa kiongozi kwenye ndoa ni mwanaume, na mwanamke atakiwa kutii maomgozo ya mume na mume anatakiwa kumpenda mke wake.. Furahiiii Day njema.. msalimie auncle😅😅
 
Back
Top Bottom