Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Hapana sio kwa society yangu mimi.
Traditionally mwanaume ndio mtafuta mkate hadi pale alipoharibu na kufanya hayo unayoyasema
Culture yetu washua ndio hunters, wanakimbiza sana tu. Mambo yanaenda ila pia akina mama nao ni wawajibikaji.

Thus why napataga ugumu sana ku deal na mwanamke ambaye anajiweka kwenye special group kuwa yeye hana contribution yeyote ila anataka ku consume tu🤣, hio ni big no!
 
Huwezi ku solve tatizo kwa kulikimbia, ni kama umelipiga teke tu utakutana nalo mbele 😀😀😀!!!

Waliochagua hii route ndio wale genge la kataa ndoa. Kwamba hakuna sababu ya kuendelea kutafta solution bali shortcut ni kuzaa kama mbwa na kukwepa kuoa.
Watu wengi hawajaishi katika ile mifumo ya familia ya baba,mama bibi na Babu ukitoka huku unafundishwa hivi ukienda kwa babies na Babu nao wana kanuni zao hapo pande zote mbili kwa hiyo ni wachache sana waliokulia maisha yaliyonyooka kuwa wakorofi au kutochangamana na jamii kwa jambo lolote maana huyo mtu ana msingi wa maisha toka nyumbani...sasa wengi hawakua kwenye hii mifumo ingawaje utakuta leo wanaweza kupata mate wao na vigali viwili vitatu kile anachokiamini hawezi kubadilika na wanawake ndio hivyo hivyo na ndio maana unaona wakikutana hapo kila mtu anamvizia mwenzie ...nyumba nyingi ni kama uwanja wa vita Russia vs Ukraine...
 
Maisha ukiishi ukashuhudia bibi na babu you get a realistic picture of life. Ukija kwa baba na mama pia mambo huwa mswano.

Utaona bila ushirikiano wa hao watu wawili maisha yangekuwa magumu sana. They were moments mzee amepoteza channel zake ila bi mkubwa ali hold up familia freshi tu.

Ila wanawake wa sasa huo ushirika hawautaki. Chake chake chako chawote na ukipoteza channel nae anahamisha goli fasta 🤣🤣🤣
 
Watu wakifuata huu mfumo vilio vitapungua. Bila mkakati mzuri ni ngumu kupata matokeo katika jambo lolote. [emoji1787]
kabisa mkuu,tatizo letu wanaume huwa tunakuwa tuna matarajio makubwa sana na hawa viumbee.wakati wenzetu wapo kimkakati zaidi.. mwanaume ukiona mwanamke wako hasomeki huna haja ya kulialia ni kupiga china anza upya..tusiogope kuanza upyaa na cha mhimu ni kujua wapi ulipokosea.binafsi nimeweza kuanza upya manaake nilikokuwa naelekea ni mimi kuwa segerea na mwenzangu kuitwa jina lingine.
 
😀 Hahah naona hatari ilikuwa kwenye lango la upinzani 🤣🤣🤣
kabisa mkuu,tatizo letu wanaume huwa tunakuwa tuna matarajio makubwa sana na hawa viumbee.wakati wenzetu wapo kimkakati zaidi.. mwanaume ukiona mwanamke wako hasomeki huna haja ya kulialia ni kupiga china anza upya..tusiogope kuanza upyaa na cha mhimu ni kujua wapi ulipokosea.binafsi nimeweza kuanza upya manaake nilikokuwa naelekea ni mimi kuwa segerea na mwenzangu kuitwa jina lingine.
 
Hapo unaposema wanawake hawapendi familia Ni chumvi,tunaona jinsi vile wanamme mnaongoza kukimbia familia na kutelekeza watoto wakati mama ndio anakuwa ameshiklia majukumu yote mvua iwe jua,
Halafu unasema ni zana potofu kufikiria mwanaume ndio bread winner,hebu refer tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu Nani Ni breadwinner kwenye familia,nyie kizazi Cha kataa ndoa ndio mnataka kubadil nature....
TAFUTENI HELA JAMANI
Acheni uongo bwana bread winner wapi, adam sii alikuta bustani tayari ipo na chakula ama sio sawa?
 
Culture yetu washua ndio hunters, wanakimbiza sana tu. Mambo yanaenda ila pia akina mama nao ni wawajibikaji.

Thus why napataga ugumu sana ku deal na mwanamke ambaye anajiweka kwenye special group kuwa yeye hana contribution yeyote ila anataka ku consume tu🤣, hio ni big no!
Kama anazalisha inabidi achangie japo mwanaume hupaswi kukitegemea sana

Wapo wanawake kweli hata kumnunulia mtoto socks tu hawezi
 
Mwanamke ana vitu vingi vya kufanya kuliko mwanaume, mwanamke AMEELEMEWA na majukumu....Imagine abebe mimba,anyonyeshe mchana na usiku,afue nguo zako na za watoto wako,apike chakula,usafi wa kaya,jamani nyie watu hebu kuweni na utu..... watu mnafuliwa Hadi boxer lakin bado tu mnaona mwanamke so kitu?
Hakika kama haya ulionena ndio unamfanyia huyo bishoo basi mwambie awe makini sana na team fisi 😀😀😀
 
kabisa mkuu,tatizo letu wanaume huwa tunakuwa tuna matarajio makubwa sana na hawa viumbee.wakati wenzetu wapo kimkakati zaidi.. mwanaume ukiona mwanamke wako hasomeki huna haja ya kulialia ni kupiga china anza upya..tusiogope kuanza upyaa na cha mhimu ni kujua wapi ulipokosea.binafsi nimeweza kuanza upya manaake nilikokuwa naelekea ni mimi kuwa segerea na mwenzangu kuitwa jina lingine.
Kabisa mwanaume utakiwi kuyumbishwa na mwanamke. Wee kidume ni kutoa oda tuu mwanamke afuate, asipofuata untupa nje unaleta mwengine full stop.
Wasitake kutuendesha kama gari bovu kisa mbususu zako🤣🤣🤣
 
Maisha ukiishi ukashuhudia bibi na babu you get a realistic picture of life. Ukija kwa baba na mama pia mambo huwa mswano.

Utaona bila ushirikiano wa hao watu wawili maisha yangekuwa magumu sana. They were moments mzee amepoteza channel zake ila bi mkubwa ali hold up familia freshi tu.

Ila wanawake wa sasa huo ushirika hawautaki. Chake chake chako chawote na ukipoteza channel nae anahamisha goli fasta [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
umepiga mle mle hii ndio sababu ya mimi na aliyekuwa mke wangu kuachana.wanawake niwabinafsi sana.
 
Kazi kubwa ya mwanamke ni kumkamilisha mwanaume na kutimiza maono ya mwanaume. Mwanamke na Mwanaume wanapokuwa kwenye ndoa wote wanahitajiana ili ku balance, isipokuwa kiongozi kwenye ndoa ni mwanaume, na mwanamke atakiwa kutii maomgozo ya mume na mume anatakiwa kumpenda mke wake.. Furahiiii Day njema.. msalimie auncle😅😅
Hapo sawa kabisa
They complement each other
 
Kama anazalisha inabidi achangie japo mwanaume hupaswi kukitegemea sana

Wapo wanawake kweli hata kumnunulia mtoto socks tu hawezi
Wenzako wanaenda kununua manywele ya marehemu (wigi) kwa Milioni alafu anamwambia dada akupigie simu hela ya nazi ya 2000 imeisha
 
Kabisa mwanaume utakiwi kuyumbishwa na mwanamke. Wee kidume ni kutoa oda tuu mwanamke afuate, asipofuata untupa nje unaleta mwengine full stop.
Wasitake kutuendesha kama gari bovu kisa mbususu zako🤣🤣🤣
Kabisa mkuu
 
Wenzako wanaenda kununua manywele ya marehemu (wigi) kwa Milioni alafu anamwambia dada akupigie simu hela ya nazi ya 2000 imeisha
Hiyo faller
Niliwah ona Shangazi yangu pencil ya mtoto anawaambia subirini baba yenu aje... lakini yeye kwao anapeleka hela kama kawa...
So misungo ipo tena mingi tu
 
umepiga mle mle hii ndio sababu ya mimi na aliyekuwa mke wangu kuachana.wanawake niwabinafsi sana.
Ukiona analeta hizo tabia unapiga chini tu atajifunza mbeleni. Sema hutakiwi kurudia kosa tena, this time oa mwanamke anaejielewa na muwajibikaji kwa familia. Sio siku huna yeye anacho anajikausha. Yani chuja sana hao watu hakikisha huoi mwanamke mbinafsi na mchoyo at any cost.
 
Back
Top Bottom