Kwanini Wanawake siku hizi wanaenda sana gym, mazoezi na kuogelea?

lokiyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,953
Reaction score
878
habarii wadau, imekua ni kawaida cku hz kuona mademu wengi wanapenda kwenda kuogelea kwenye mahoteli, vilevile wengine wanapenda kwenda gym kuchukua mazoez au hata wengine kufanya joging,,,hv kuna kitu kimejificha nyuma yao au ni kawaida tu
 
Wanaume wame adimika hivyo wanawake wanafanya hivyo hili kuongeza mvuto hasa gym na kwenye kuogelea kupata vidume
aisee inawezekana maana imekua ni shida huku mtaani utaona anapita na skin tigh....tak"' lote linaonekana
 
tukinenepa keleee... tukizoezikaa mnaleta ukuda.! mkoje ninyi mbona hamueleweki kama karata dume?
 
Ukiwaona waulize sie hatuna majibu maana mtaleta mambo kibao ambayo hayana hata maana
 
Aisee hakuna mazoezi mazuri kiafya kama kuogelea I just love it. Hayo mengine ya wadada mi sipo
 
Duh!!!..Kwa hiyo unataka waende wapi sasa eee...wacha waende wakaongeze boosta na makalio GYM akimaliza akaongeze stamin swim iliukikutana nae uwanja wa 69 usiweze mziki wake...Kina dada na kina mama wanaoenda Gym safi sana Hongera zenu😛oa
 
habarii wadau, imekua ni kawaida cku hz kuona mademu wengi wanapenda kwenda kuogelea kwenye mahoteli, vilevile wengine wanapenda kwenda gym kuchukua mazoez au hata wengine kufanya joging,,,hv kuna kitu kimejificha nyuma yao au ni kawaida tu

Baada ya kuwakodolea macho ungeungana nao ili uondoe hilo li kitambi unalofuga.
 
Mavyakula haya ya siku hizi miili inaumuka ovyo ovyo unakuta mtu tumbo na kiuno viko pamoja anagundua njia sahihi ya kumshape ni zoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…