Kwanini wanawake tu ? Ni uwoga ? Kutojiamini ? Kujihami ?

Kwanini wanawake tu ? Ni uwoga ? Kutojiamini ? Kujihami ?

Tatizo ni kukaguliwa! waliokaguliwa hayawezi kuwakuta!
 
mkuu wapo walioa masoja unategemea kipondo hawatakula?

Sikatai mkiva kuwa hawapo , wapo sana!
Ila ni wale wafananao na "Papai la kula leo" Bt wale wenye mfanano wa "Papai la kula keshokutwa" ssubhuuttuh !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom