Siri ukishindwa kuitunza mwenyewe ndo basi tena inakua sio siri tena....by the way wadada wengi ndo tuko hivyo hamna namna kubali tu yaishe na ufanye mambo yako ya msingi
Tuwe Friend with benefits bibie…
Naomba uniongezee hapo kwenye hio list ya male friends humbly kabisa nnakupa mkono wa friendshipsFrom now onwards I will be having only male friends.
Ila hamna watu wambea kama wanaume usisahau Hilo....
Hapo kwenye from now onwards ndio utakapokuja kujua hujui.
Watakutumia na kuambiana ubaki unashangaa. Kibaya zaidi wakikutumia wanaambiana bila wewe kujua.
Stick to your gender and one man.
Kwa sababu mna wivu uliopitiliza na mumeumbwa kuwa na Ligi baina yenu mda wote na wakati wowote.
Kwanza wanawake walio sio tuu mnachukiana wao Kwa wao Bali hata wanaume mnatukera sana mkiwa kwenye sehemu za kutoa Huduma hamfanyi Kwa Ufanisi mkielekezwa mnanuna sijui mkoje.
Kiufupi mna disorder Fulani yaani Kuna waya ulisahaulika wakati mnasukwa.
Naomba uniongezee hapo kwenye hio list ya male friends humbly kabisa nnakupa mkono wa friendships
Kuongeza tu ni kwamba.
BBF wanashare mwanamme mmoja na wanaendelea tu kama kawaida. Mmoja tu ndo hujua na mwingine huwa hajui.
sababu kubwa ya wanawake kuchukiana ni kutokana na mfumo dume ambao sababu yake kuu ni mila na dini.Yani wanawake wengi tena haswa awa wanajiita ma BBF ndo kabisa, mtu anatoa habari za huyu anapeleka kwa mwingine Alaf anajifanya oh my babe I always got your back kumbe unafki mtu akiwa pembeni anakuponda na kuanika mambo yako.
Ukiachana na hili unaweza ukawa umependeza ukaenda sehemu or hata kazini unakuta wanawake wanaanza kukuchukia gafla tu bila sababu na ukimuuliza kwann unamchukia yule hana sababu za msingi, uki mind your own business wanaanza umbea kukuongelea mara anaringa mara hivi. Na especially ukiwa your beautiful, unajipenda na huna mambo yake ya kushobokea watu ndo kabisaa.
Yani Mimi honestly Naona bora wanaume they got each other’s back ( japo sio wote) Ila most of them and huwakuti wakiongea habari za mwanaume mwenzao especially ikiwa very personal. Na ndo maana urafiki wao unadumu mpaka wanakua kama familia.
From now onwards I will be having only male friends [emoji19][emoji19].
chaiIla hamna watu wambea kama wanaume usisahau Hilo....
Mwanamke unaanzaje kuhamia kuwa na marafiki wa kiume kuliko wanawake wenzio...Sio Siri hilo ni pigo kwa mpenzi wako km akijua na wala hatakiw kukuunga mkono kwa hiloYani wanawake wengi tena haswa awa wanajiita ma BBF ndo kabisa, mtu anatoa habari za huyu anapeleka kwa mwingine Alaf anajifanya oh my babe I always got your back kumbe unafki mtu akiwa pembeni anakuponda na kuanika mambo yako.
Ukiachana na hili unaweza ukawa umependeza ukaenda sehemu or hata kazini unakuta wanawake wanaanza kukuchukia gafla tu bila sababu na ukimuuliza kwann unamchukia yule hana sababu za msingi, uki mind your own business wanaanza umbea kukuongelea mara anaringa mara hivi. Na especially ukiwa your beautiful, unajipenda na huna mambo yake ya kushobokea watu ndo kabisaa.
Yani Mimi honestly Naona bora wanaume they got each other’s back ( japo sio wote) Ila most of them and huwakuti wakiongea habari za mwanaume mwenzao especially ikiwa very personal. Na ndo maana urafiki wao unadumu mpaka wanakua kama familia.
From now onwards I will be having only male friends [emoji19][emoji19].
Hakua kitu km hchoIf you only allow it Ndio atakukula but if you don’t hawezi
Kwenye customer care wanawake wanaharibu sana sometimes hata kukimbiza watejaKwa sababu mna wivu uliopitiliza na mumeumbwa kuwa na Ligi baina yenu mda wote na wakati wowote.
Kwanza wanawake walio sio tuu mnachukiana wao Kwa wao Bali hata wanaume mnatukera sana mkiwa kwenye sehemu za kutoa Huduma hamfanyi Kwa Ufanisi mkielekezwa mnanuna sijui mkoje.
Kiufupi mna disorder Fulani yaani Kuna waya ulisahaulika wakati mnasukwa.
Ndivyo tulivyoumbwa wewe zoea tu hakuna namna