Kwanini wanawake tunachukiana sana?

Kwanini wanawake tunachukiana sana?

From now onwards I will be having only male friends
emoji19.png
emoji19.png
.
Naomba uniongezee hapo kwenye hio list ya male friends humbly kabisa nnakupa mkono wa friendships
 
Kuongeza tu ni kwamba.

BBF wanashare mwanamme mmoja na wanaendelea tu kama kawaida. Mmoja tu ndo hujua na mwingine huwa hajui.
 
Kwa sababu mna wivu uliopitiliza na mumeumbwa kuwa na Ligi baina yenu mda wote na wakati wowote.

Kwanza wanawake walio sio tuu mnachukiana wao Kwa wao Bali hata wanaume mnatukera sana mkiwa kwenye sehemu za kutoa Huduma hamfanyi Kwa Ufanisi mkielekezwa mnanuna sijui mkoje.

Kiufupi mna disorder Fulani yaani Kuna waya ulisahaulika wakati mnasukwa.

[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Yani wanawake wengi tena haswa awa wanajiita ma BBF ndo kabisa, mtu anatoa habari za huyu anapeleka kwa mwingine Alaf anajifanya oh my babe I always got your back kumbe unafki mtu akiwa pembeni anakuponda na kuanika mambo yako.

Ukiachana na hili unaweza ukawa umependeza ukaenda sehemu or hata kazini unakuta wanawake wanaanza kukuchukia gafla tu bila sababu na ukimuuliza kwann unamchukia yule hana sababu za msingi, uki mind your own business wanaanza umbea kukuongelea mara anaringa mara hivi. Na especially ukiwa your beautiful, unajipenda na huna mambo yake ya kushobokea watu ndo kabisaa.

Yani Mimi honestly Naona bora wanaume they got each other’s back ( japo sio wote) Ila most of them and huwakuti wakiongea habari za mwanaume mwenzao especially ikiwa very personal. Na ndo maana urafiki wao unadumu mpaka wanakua kama familia.

From now onwards I will be having only male friends [emoji19][emoji19].
sababu kubwa ya wanawake kuchukiana ni kutokana na mfumo dume ambao sababu yake kuu ni mila na dini.
 
Yani wanawake wengi tena haswa awa wanajiita ma BBF ndo kabisa, mtu anatoa habari za huyu anapeleka kwa mwingine Alaf anajifanya oh my babe I always got your back kumbe unafki mtu akiwa pembeni anakuponda na kuanika mambo yako.

Ukiachana na hili unaweza ukawa umependeza ukaenda sehemu or hata kazini unakuta wanawake wanaanza kukuchukia gafla tu bila sababu na ukimuuliza kwann unamchukia yule hana sababu za msingi, uki mind your own business wanaanza umbea kukuongelea mara anaringa mara hivi. Na especially ukiwa your beautiful, unajipenda na huna mambo yake ya kushobokea watu ndo kabisaa.

Yani Mimi honestly Naona bora wanaume they got each other’s back ( japo sio wote) Ila most of them and huwakuti wakiongea habari za mwanaume mwenzao especially ikiwa very personal. Na ndo maana urafiki wao unadumu mpaka wanakua kama familia.

From now onwards I will be having only male friends [emoji19][emoji19].
Mwanamke unaanzaje kuhamia kuwa na marafiki wa kiume kuliko wanawake wenzio...Sio Siri hilo ni pigo kwa mpenzi wako km akijua na wala hatakiw kukuunga mkono kwa hilo

Ila kiukweli wanawake kwa wanawake ni wanafki by nature(kiasili) hiyo ndio asili yenu tofauti na sisi wanaume

Kwa sisi wanaume ukiwa na tabia hizo za kike za kisnichi tunakukacha mapm na tunakupa makavu laivuuu
 
Kwa sababu mna wivu uliopitiliza na mumeumbwa kuwa na Ligi baina yenu mda wote na wakati wowote.

Kwanza wanawake walio sio tuu mnachukiana wao Kwa wao Bali hata wanaume mnatukera sana mkiwa kwenye sehemu za kutoa Huduma hamfanyi Kwa Ufanisi mkielekezwa mnanuna sijui mkoje.

Kiufupi mna disorder Fulani yaani Kuna waya ulisahaulika wakati mnasukwa.
Kwenye customer care wanawake wanaharibu sana sometimes hata kukimbiza wateja
 
Back
Top Bottom