Kwanini wanawake tunachukiana sana?

Sema kama nakuelewa ila kama sikuelewi hivi
 
kwenye siku ya wanawake mwakani mkae kikao mjadiliane ili kupata suluhisho la tatizo hili mtambuka
 
Ukiwa na tabia kama hizo basi kila unaemuona utaona anakuchukia.
 

Aisee hamna story zingine za kuongelea zaidi ya kumuongelea mwingine ambaye hayupo
 
Nlivosoma tittle nkaangalia avatar nkaona muda umeenda siwezi soma kote nikasoma statement yako ya mwisho..... karibu sana sisi wanaume huwa hatuna mba mba mba lkn kuna changamoto zake japo sio kubwa kiivo

Changamoto ni zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…