ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Hili ndio la msingi, tumejawa unafiki mwingi tu. Hata me siku hizi sio wa kutuamini sana, tuna vimaneno vingi tu.Maisha yetu yamejaa unafiki mwingi inabidi uishi Kwa code.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndio la msingi, tumejawa unafiki mwingi tu. Hata me siku hizi sio wa kutuamini sana, tuna vimaneno vingi tu.Maisha yetu yamejaa unafiki mwingi inabidi uishi Kwa code.
Kama kuna ukweli vile.Ni nature ya mwanamke Toka zamani sana kuwa na roho mbaya wachache sana ndio angalau wanakaroho kazuri
Ndo iko hivyo best, pole lakiniVery sad[emoji17]
Strong and Fearless Hujaniambia sababu inayofanya msipendaneYes hiyo ni sababu pia
kwenye siku ya wanawake mwakani mkae kikao mjadiliane ili kupata suluhisho la tatizo hili mtambukaYani wanawake wengi tena haswa awa wanajiita ma BBF ndo kabisa, mtu anatoa habari za huyu anapeleka kwa mwingine Alaf anajifanya oh my babe I always got your back kumbe unafki mtu akiwa pembeni anakuponda na kuanika mambo yako.
Ukiachana na hili unaweza ukawa umependeza ukaenda sehemu or hata kazini unakuta wanawake wanaanza kukuchukia gafla tu bila sababu na ukimuuliza kwann unamchukia yule hana sababu za msingi, uki mind your own business wanaanza umbea kukuongelea mara anaringa mara hivi. Na especially ukiwa your beautiful, unajipenda na huna mambo yake ya kushobokea watu ndo kabisaa.
Yani Mimi honestly Naona bora wanaume they got each other’s back ( japo sio wote) Ila most of them and huwakuti wakiongea habari za mwanaume mwenzao especially ikiwa very personal. Na ndo maana urafiki wao unadumu mpaka wanakua kama familia.
From now onwards I will be having only male friends [emoji19][emoji19].
Ukiwa na tabia kama hizo basi kila unaemuona utaona anakuchukia.Yani wanawake wengi tena haswa awa wanajiita ma BBF ndo kabisa, mtu anatoa habari za huyu anapeleka kwa mwingine Alaf anajifanya oh my babe I always got your back kumbe unafki mtu akiwa pembeni anakuponda na kuanika mambo yako.
Ukiachana na hili unaweza ukawa umependeza ukaenda sehemu or hata kazini unakuta wanawake wanaanza kukuchukia gafla tu bila sababu na ukimuuliza kwann unamchukia yule hana sababu za msingi, uki mind your own business wanaanza umbea kukuongelea mara anaringa mara hivi. Na especially ukiwa your beautiful, unajipenda na huna mambo yake ya kushobokea watu ndo kabisaa.
Yani Mimi honestly Naona bora wanaume they got each other’s back ( japo sio wote) Ila most of them and huwakuti wakiongea habari za mwanaume mwenzao especially ikiwa very personal. Na ndo maana urafiki wao unadumu mpaka wanakua kama familia.
From now onwards I will be having only male friends [emoji19][emoji19].
hahaa
kuna love triangle kubwa sana hapo ofisini kwenu,
boss anafanya kuchota asali tu
Nlikua naishi na A,nlimtembelea ksma likizo.A alikua na marafiki ila kipindi hiko alikua anaenda sana matembezi na rafikiye tumite B..huyu B hakua akikaa mbali sana so akiwa free anakuja kwa A wanapika na kupakua story kwa sana.kuna siku A akaniambia nina rafiki tumite C,anataka kuja kunitembelea maana haya ni makazi mapya ikiwemo kupajua kwangu.sijui siku gani itamfaa nimpikie vizuri na kumkirimu.akapanga siku akamwambia ijumaa njoo.C akajibu sawa ntakuja mchana.siku ilipofika A akaanza maandalizi makulaji ya kutosha,mchana umefika C akapigiwa unakuja? Akajibu nakuja ila ntachelewa kidogo.tukamgoja mpaka saa kumi ndo kafika katika maongezi akaanza kumnanga B,ooh A unamjua B mara yuko amara vile kamsemaaa!
Alivomaliza ugeni kaaga.
Kesho sasa B akajiskia kuja kumtembelea A.kufika baada ya mambo ya msingi akaamuuliza A hivi unamjua C?maana jana kaja kwangu mchana ghafla akaanza kukusengenya,anakuongelea vibaya mno hadi nashangaa.
A kabaki hee!!??
Huyo C jana kaja kunitembelea jioni kumbe katoka kwako kuniongelea halafu akaja kwangu akaanza kukuongelea nawe kaja kukusengenya kwangu ndo akaondoka.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] haki nkikumbuka hili tukio nabaki hoi.
Wanawake sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha yetu yamejaa unafiki mwingi inabidi uishi Kwa code.
Nlivosoma tittle nkaangalia avatar nkaona muda umeenda siwezi soma kote nikasoma statement yako ya mwisho..... karibu sana sisi wanaume huwa hatuna mba mba mba lkn kuna changamoto zake japo sio kubwa kiivo
Sema kama nakuelewa ila kama sikuelewi hivi
Ndo iko hivyo best, pole lakini
Strong and Fearless Hujaniambia sababu inayofanya msipendane
kwenye siku ya wanawake mwakani mkae kikao mjadiliane ili kupata suluhisho la tatizo hili mtambuka
Kama ww sio pisi ya kwenda tegemea kukosa kampan ya baadhi ya wajuba mitongozo isiyo na mwisho 😁ila hii sio changamoto sanaChangamoto ni zipi?
Ukiwa na tabia kama hizo basi kila unaemuona utaona anakuchukia.
Kama ww sio pisi ya kwenda tegemea kukosa kampan ya baadhi ya wajuba mitongozo isiyo na mwisho [emoji16]ila hii sio changamoto sana
Bas tutakudinya bila kukutongoza utashtuka TU unahema Kwa tabu umelegea & ulimi mzito🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mitongozo siitaki