Kwanini wanawake wa kiafrika hawataki kuwa matajiri, ila wanataka haki sawa?

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
KWANINI WANAWAKE KAMWE HAWATAKI WAWE MATAJIRI??

Wakati mwingine nikikaa peke yangu nakuwa na maswali yangu halafu mengine ninapata majibu haraka sana. Ni majuzi kati tu hapo nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini Afrika ni vigumu sana kumkuta mwanamke ni tajiri? Ama kukutana na mwanamke mwenye ndoto za kuwa tajiri? Kwa nini wanawake huwa hawasimami na kusema ninataka niwe tajiri?

Mwanamke wa Kitanzania hataki kuwa tajiri, anachokitaka ni kitu kimoja tu, afanye kazi inayomlipa hata laki tano kwa mwezi, awe na pesa ya kutumia kwa kubadilishia nguo, hapo imekwisha, utajiri hataki kabisa kuusikia.

Mwanamke hataki mambo mengi. Wao huwa wanataka mambo madogo tu, awe na mwanaume mwenye pesa za kumfanya kuishi vizuri, anunuliwe nguo, azitumie, zisiishe, awe na kibiashara kidogo, gari la kutembelea, imetosha.

Ukimsikiliza mwanamke ndoto zake ni zipi, atakwambia nataka kuwa na mwanaume mwenye pesa, sio kwamba yeye aje kuwa na pesa!

Wanawake haohao ndiyo ambao wanasema wanataka haki sawa. Sawa, haki sawa mtaipata, ila mna pesa za kuhakikisha haki sawa inapatikana? Utaweza kuwalipia watoto ada? Utaweza kununua mahitaji ya nyumbani? Utaweza kufanya mambo ambayo mwanaume anayafanya? Wanaotaka haki sawa wao wanaangalia kazi za nyumbani tu, apikiwe, afuliwe na mengine, mambo ya kuhudumia familia huwa hawayazungumzii kabisa.

Hapo hapo mkikorofishana kidogo, utasikia tugawane Mali zetu🙄🤔. As if mlikuwa wote huko kazini au kwenye mihangaiko.

Mwanamke akipata pesa hataki kumsikiliza mwanaume asiye na pesa. Ila mwanaume akiwa na pesa, ni rahisi sana kukaa na mwanamke asiye na pesa, akamsikiliza na kuendelea na maisha.
Wanawake hawa kiu ya kuwa matajiri, ila wana kiu ya kuwa na maisha independent, wawe wanajitegemea, wapate wanachokihitaji na kuendelea na maisha yake.

👉 I mean no malice to nobody
.
FB_IMG_16859096228257300.jpg
 
KWANINI WANAWAKE KAMWE HAWATAKI WAWE MATAJIRI??

Wakati mwingine nikikaa peke yangu nakuwa na maswali yangu halafu mengine ninapata majibu haraka sana. Ni majuzi kati tu hapo nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini Afrika ni vigumu sana kumkuta mwanamke ni tajiri? Ama kukutana na mwanamke mwenye ndoto za kuwa tajiri? Kwa nini wanawake huwa hawasimami na kusema ninataka niwe tajiri?

Mwanamke wa Kitanzania hataki kuwa tajiri, anachokitaka ni kitu kimoja tu, afanye kazi inayomlipa hata laki tano kwa mwezi, awe na pesa ya kutumia kwa kubadilishia nguo, hapo imekwisha, utajiri hataki kabisa kuusikia.

Mwanamke hataki mambo mengi. Wao huwa wanataka mambo madogo tu, awe na mwanaume mwenye pesa za kumfanya kuishi vizuri, anunuliwe nguo, azitumie, zisiishe, awe na kibiashara kidogo, gari la kutembelea, imetosha.

Ukimsikiliza mwanamke ndoto zake ni zipi, atakwambia nataka kuwa na mwanaume mwenye pesa, sio kwamba yeye aje kuwa na pesa!

Wanawake haohao ndiyo ambao wanasema wanataka haki sawa. Sawa, haki sawa mtaipata, ila mna pesa za kuhakikisha haki sawa inapatikana? Utaweza kuwalipia watoto ada? Utaweza kununua mahitaji ya nyumbani? Utaweza kufanya mambo ambayo mwanaume anayafanya? Wanaotaka haki sawa wao wanaangalia kazi za nyumbani tu, apikiwe, afuliwe na mengine, mambo ya kuhudumia familia huwa hawayazungumzii kabisa.

Hapo hapo mkikorofishana kidogo, utasikia tugawane Mali zetu[emoji849][emoji848]. As if mlikuwa wote huko kazini au kwenye mihangaiko.

Mwanamke akipata pesa hataki kumsikiliza mwanaume asiye na pesa. Ila mwanaume akiwa na pesa, ni rahisi sana kukaa na mwanamke asiye na pesa, akamsikiliza na kuendelea na maisha.
Wanawake hawa kiu ya kuwa matajiri, ila wana kiu ya kuwa na maisha independent, wawe wanajitegemea, wapate wanachokihitaji na kuendelea na maisha yake.

[emoji117] I mean no malice to nobody
.
View attachment 2676253
Sema nn Intelligent businessman nyuzi zako nifikirishi sana ikiwemo hii.niukweli usiopingika kua taasisi ya ndoa au mahusiano kwa ujumla ya kiendeshwa kwa mfumo wa haki sawa hayafiki mbali ,hii nikutokna nakua majukumu kati ya mke&mme yanatofautiana uzito nahii ndio huleta mantiki ya nani awe kiongozi ktk hyo familia(mara nyingi mme),nakua kiongozi inamaanisha utakua nanguvu flani ya kimamlaka na kimaamuzi ambapo kunavitu waongozwaji watahitajika kufata maelekezo ya ww kiongozi(mara nyingi mme) bila kukupinga au kukubishia bishia(refer feminists), mme ambae ndie provider wa familia in most of the cases especially kutokana na kua kiongozi hujikita kutafuta mali imuwezeshe kuprovide ktk familia yake.
 
Kifupi ndo maskia leo kuwa wanawake hawataki kuwa matajiri....hili tangazo lini limetoka? Mbona niko mbali silijui🤷‍♀️...kwahyo wanawake tunapenda umaskini? Khe
 
Sema nn Intelligent businessman nyuzi zako nifikirishi sana ikiwemo hii.niukweli usiopingika kua taasisi ya ndoa au mahusiano kwa ujumla ya kiendeshwa kwa mfumo wa haki sawa hayafiki mbali ,hii nikutokna nakua majukumu kati ya mke&mme yanatofautiana uzito nahii ndio huleta mantiki ya nani awe kiongozi ktk hyo familia(mara nyingi mme),nakua kiongozi inamaanisha utakua nanguvu flani ya kimamlaka na kimaamuzi ambapo kunavitu waongozwaji watahitajika kufata maelekezo ya ww kiongozi(mara nyingi mme) bila kukupinga au kukubishia bishia(refer feminists), mme ambae ndie provider wa familia in most of the cases especially kutokana na kua kiongozi hujikita kutafuta mali imuwezeshe kuprovide ktk familia yake.
Nikilewa ukichaa, huwa nakuja na hoja zangu🤒
 
Back
Top Bottom