sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kuna muda huwa nashindwa hata kuelewa kama hawa ni wenzetu.
Sizungumzii waarabu original wale wa Oman, Dubai, n.k ni hawa waarabu wa hapa hapa bongo wengi wakiwa machotara waliochanganyikana kabisa na wabantu, wengi wapo Sikonge, Igunga, Ngega, Tinde, Itobo, n.k
Yani wao ni ndani tu mda wote, ikifika jioni jioni huko ndio unawaona wanenda sokoni, wanauza maandazi nje ya nyumba, n.k. hata hali zao za uchumi ni za mawaida tu.
Wengi wanepigwa pin wasitumie mitandao ya kijamii mithili ya wanavyofungiwa ndani.
Nakumbuka rafiki yangu alienda kikazi huko Sikonge wiki 1, alifanya jitihada kuzoeana na mmoja wao, aliporudi huku alimtumia nauli aje kwake, jamaa hakuja kazini siku 4 mfululizo anasingizia anaumwa 😂😂, binti aliporudi kwao nae ndio akaanza kuja kazini.
Tatizo liko wapi aisee??