Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu hivi kwa nini wanawake wa kiafrika wanapenda sana kujichubua wawe weupe kama wazungu? je tatizo nini hapa? hawajihamini,maendeleo au ulimbukeni?
Wanawake wa kibongo ni feki kuanzia nywele. eyelashes, skin, meno ya dhahabu, maziwa wanayafanya yawe juu juu feki down mpaka mwendo ni feki. Ndio maana wengine wanafuata wanafunzi ili wapate taste ya the REAL THING. Maongezi yao feki, mtu anakunywa safari akiwa na mwanamme anakunywa saint anne. I hate them
Kwa sababu WANAUME wanaume wana mtazamo kuwa <strong>CHEUPE NDIO KIZURI</strong>. Kwa hiyo wanaume wakibadili mindset yao kuhusu uzuri basi na wanawake nao watabadilika. Its all about men's mind set na hii nadhani ipo duniani kote. Mfano, kwa wanaume wa kichina, mwanamke mzuri ni MWEMBAMBA , kwa hiyo wanawake wa kichina hufanya kila wawezalo wasinenepe ndio mana utaona wao wanatengeneza madawa ya kukuza hips na makalio(ashakum si matusi) lakini WAO WENYEWE HAWATUMII, wanaleta Afrika na kwengineko ambako mtizamo wa uzuri umejengeka kwa mwanamke kuwa na viungo vikubwa kama nilivyovitaja hapo juu.
Mbona papuchi zinakua nyeusi why mchunguzi
1.Hawajiamini
2.Hawajithamini
wamasai hawajichubui laba huko dar kwenu huko oldonyosamvu bado sisi wote ni weusi tii
Wasio upenda utu wao weusi ndio wanaofanya kazi ya kujichubua...ila anayejikubali na uafrika wake haezi fanya huo ushamba.