Kwanini wanawake wa kibongo wanapenda kujibadilisha wawe weupe kama wazungu?

wakuu hivi kwa nini wanawake wa kiafrika wanapenda sana kujichubua wawe weupe kama wazungu? je tatizo nini hapa? hawajihamini,maendeleo au ulimbukeni?

Tatizo ni nyinyi wanaume wa kibongo! mkiona cheupe dawa mnavibrate saaana! na invoice mnakata ndefu kuliko kwa cheusi dawa!
 
Ni kutokujitambua. Na ukiangalia wengi wanaofanya hivyo ni baadhi ya watu fulani au kundi la watu fulani fulani kutoka jamii fulani.
Ngoja niishie hapo nisije nikachafua hali ya hewa.

sema usikikeee!
 
Attachments

  • 1430865503227.jpg
    1430865503227.jpg
    31.6 KB · Views: 141
Kwa sababu WANAUME wanaume wana mtazamo kuwa CHEUPE NDIO KIZURI. Kwa hiyo wanaume wakibadili mindset yao kuhusu uzuri basi na wanawake nao watabadilika. Its all about men's mind set na hii nadhani ipo duniani kote. Mfano, kwa wanaume wa kichina, mwanamke mzuri ni MWEMBAMBA , kwa hiyo wanawake wa kichina hufanya kila wawezalo wasinenepe ndio mana utaona wao wanatengeneza madawa ya kukuza hips na makalio(ashakum si matusi) lakini WAO WENYEWE HAWATUMII, wanaleta Afrika na kwengineko ambako mtizamo wa uzuri umejengeka kwa mwanamke kuwa na viungo vikubwa kama nilivyovitaja hapo juu.

Hamnaaa!! Wanawake wa Kiafrika hupendeza wakiwa weusi tu, hayo ya kujichubua ni kutojiamini. kuna wanawake wengi weusi yaani akitabasamu tu, unahisi kuzimia kwa raha jinsi alivyo mrembo na ngozi yake original. Kuna yule msanii wa filamu Ulaya kwa jina Gabrielle Union, huyu mtoto huniacha hoi na kufanya nitamani kurudia scenes zake kila mara.

Huwa hainingii akilini kuwa kuna mwanamume dunia hii ambaye anamtafuna, kwanza huwa nahisi wivu sana kila nikiona msanii mwenzie anambusu kwenye movie. Cheki picha yake jinsi alivyotokelezea tena kwa ngozi yake nyeusi.

gabrielle-union-and-dwayne-wade-engaged-c4b48aad070f1e8737a41f43197ae947-large-1660586.jpg

gabrielle_union.jpg

cc: kui
 
Heheh!, wewe bwana, eti unaonea wivu movie 😀

Gabrielle Union is pretty. Na u celebrity wake wote lakini haja badili rangi.

Na makabila yetu ya kutoza mahali kubwa kwa binti mweupe sijui bado yanaendeleza?!, coz naona ni moja ya vitu vinachangia hii tabia.
Na wadada wasio weupe na kutokujiamini wanaingia kiurahisi kwenye hii, kuona hawatapendwa. Lakini inaonekana wanaume wengi wana prefer zaidi weupe.

FF alisemaga huko nyuma kuna wakaka wanapenda sana weupe kiasi kwamba wakiwakosa hata wa mkorogo anafaa 🙂
 
Sio wabongo tu, hata hao wazungu wanajichubua,
Yani hata weupe wanataka kua weupe zaidi.
 
Tunawaitaga "fanta-coke". Wajikubali. Kuna vitu vingi vya kufanywa mtu apendwe. Mfano: tabia, kujitambua, heshima, n.k. wafocus huko kwingne
 
Heheh!, wewe bwana, eti unaonea wivu movie 😀

Gabrielle Union is pretty. Na u celebrity wake wote lakini haja badili rangi.

Na makabila yetu ya kutoza mahali kubwa kwa binti mweupe sijui bado yanaendeleza?!, coz naona ni moja ya vitu vinachangia hii tabia.
Na wadada wasio weupe na kutokujiamini wanaingia kiurahisi kwenye hii, kuona hawatapendwa. Lakini inaonekana wanaume wengi wana prefer zaidi weupe.

FF alisemaga huko nyuma kuna wakaka wanapenda sana weupe kiasi kwamba wakiwakosa hata wa mkorogo anafaa 🙂

Aisei kui naona huo kama utumwa, hapo utakuta dem mweupe halafu mkianza romance na kuvuana nguo unashangaa maana yupo na madoadoa kama chui, kuna maeneo labda kasahau kuchubua au hiyo rangi inadondoka. That's a crazy turn off.

Japo jamii inachangia pakubwa kwa hili la kuwafanya binti zetu wasijiamini. Kwanza kama hapa kwetu, wanaume wa kutoka Luo land hawakomi katika kunyakua madem wa Kikikuyu kisa rangi ya ngozi. Baadaye unakuja kugundua ulioa majanga maana tabia za mwanamke ndio muhimu na sio rangi.
 
Ati rangi inadondoka...😀😀😀

Ni kweli pia, tabia ni muhimu zaidi. Naona wanaume wengine kupenda zaidi rangi bila kujua tabia ni kutokujielewa.
 
Mimi naipinga hoja yako mkuu@bibi.com ,ukicema ni uhitaji wawa teja wao inakuwa hailetii maana kwani kuna wamama na wadada wengine wapo ndani ya ndoa tayali utakuta wanajichubua shida nikutaka je hao tutasemaje!!!!
Aliyekwambia wliko kwenye ndoa hawauzi nan wakat wenyewe ndo nguli
 
Hamnaaa!! Wanawake wa Kiafrika hupendeza wakiwa weusi tu, hayo ya kujichubua ni kutojiamini. kuna wanawake wengi weusi yaani akitabasamu tu, unahisi kuzimia kwa raha jinsi alivyo mrembo na ngozi yake original. Kuna yule msanii wa filamu Ulaya kwa jina Gabrielle Union, huyu mtoto huniacha hoi na kufanya nitamani kurudia scenes zake kila mara.

Huwa hainingii akilini kuwa kuna mwanamume dunia hii ambaye anamtafuna, kwanza huwa nahisi wivu sana kila nikiona msanii mwenzie anambusu kwenye movie. Cheki picha yake jinsi alivyotokelezea tena kwa ngozi yake nyeusi.

gabrielle-union-and-dwayne-wade-engaged-c4b48aad070f1e8737a41f43197ae947-large-1660586.jpg

gabrielle_union.jpg

cc: kui
Daaah Gabrielle ni hatari sana mkuu
 
Sio wao mimaji nayo ikizidi mwilini inakoza rangi.

Wanakunywa sana mma.
 
Back
Top Bottom