GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Mimi nilipelekwa Polisi nikalala lockup eti.alafu wale wamama wa dawati ni soo hata kama unachakuwaambia hawasikiliziNi kwanini Wanawake wa siku hizi hawana tena Uvumilivu wa Kuhimili Vipigo Vitakatifu (vya Kishalubela) kutoka kwa Wanaume wakati Mama zao walikuwa wanaweza na tena wakipigwa ndiyo walikuwa wakiongeza Mapenzi kwa Wanaume na wala walikuwa hawalii na hawatangazi kwa Watu?
Vyema sana, I hope ulinyookaMimi nilipelekwa Polisi nikalala lockup eti.alafu wale wamama wa dawati ni soo hata kama unachakuwaambia hawasikilizi
ila unapenda uchokozi bila shaka.Options zinaonekana kwa urahisi, macho yako wazi sasa kuliko zama hizo.
Wa zamani hawakuwa na fursa za kuwachomoa mikononi mwa wale wakatili wanaume!
Sipendi kupigwa,inakata mapenzi kabisaaa
Mapenzi bila uchokozi yanapooza sana, sometimes kash kash kidogo ila nyie wepesi wa kurusha vibaoila unapenda uchokozi bila shaka.
Hizo kashkashi ni pamoja na makofi ambayo lazma mchezee mkizidisha utoto 😂😂😂Mapenzi bila uchokozi yanapooza sana, sometimes kash kash kidogo ila nyie wepesi wa kurusha vibao
Hizo kashkashi ni pamoja na makofi ambayo lazma mchezee mkizidisha utoto 😂😂😂
Huyo mwanamke wa kumgrab labda awe anatokea Tanga. Kama ni mtu wa Kanda ya Mbeya au Iringa unaweza jutia maamuzi yako.😂😂😂Hapana, ukiona mwenza kazidisha maneno kuna vitu umepunguza anataka urudishe attention yako kwake, ikitokea hali hiyo grab her tight to your chest then give her a loooong kiss, kisirani kwisha! Ila nyie wanaume zenu ni ngumi mkononi, mnaharibu sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa sababu zamani walijua ukiachika ni aibu kwako na kwa familia ila nowdays ukiachika mpaka vyombo vya Dora vina kupongeza kwa kujitambua
Akinivuruga nachukua Nguo mbili tatu naamsha naenda zangu hatoniona wiki nzima.. Mara Unaaanza kuona simu ya mama mkwe Mara ya mama Mara Bamdogo ... Wewe mwenzako analalamika haupo nyumbani ... Nawajibugi tu pigeni na ofisini Kama sifiki kazini ... Asipobadilika ndio ntamuachia na mji nnkaanze upya .... Mara mbili ya tatu amenyooka....Tafuta namna nyingine ya kumuadhibu mke ila sio kipigo lakini pia tambua miili ya sasa hivi sio ile ya zamani mf. mtoto wa leo hii anachapwa viboko shuleni anazimia au kufa mwl. anakutana kesi ya mauaji.
Zamani unakatwa kwa panga au unachomwa mshale unapona bila kwenda hospital kitu ambacho leo hii hakiwezekani kabisa.
(Wangu akiniudhi kipigo lazima wacha liwalo na liwe)
Mwanamke usimpige mpe ela bandia ataenda pigwa sokoni
Mwanamke usimpige mpe ela bandia ataenda pigwa sokoni