Kwanini Wanawake wa zamani walikuwa wanavumilia Vipondo vya Waume zao ila si wa sasa?

Tafuta namna nyingine ya kumuadhibu mke ila sio kipigo lakini pia tambua miili ya sasa hivi sio ile ya zamani mf. mtoto wa leo hii anachapwa viboko shuleni anazimia au kufa mwl. anakutana kesi ya mauaji.
Zamani unakatwa kwa panga au unachomwa mshale unapona bila kwenda hospital kitu ambacho leo hii hakiwezekani kabisa.
(Wangu akiniudhi kipigo lazima wacha liwalo na liwe)
Duhhhh
 
Ndio Mana mdoa zimekushinda. Tumia akili kuishi na watu, huwi mwanaume kwa kuonea mwanamke, Kama wewe kidume pigana na wanaume wenziwe huko kupigana na njia tofauti ni udhaifu

Niombee tu nipate mke mvumilivu, hapa hatuongelei kuonea mwanamke... lazima kuwe na sababu ambazo hatuwezi kuahidi leo kuwa hazitakuwepo.
 
Huwezi kutaaka kuwa mvumilivu huku hujirekebishi siitakuwa kupaka upepo rangi. Ndoa maelewano na kusikilizana failure to do so lazima mugawane majengo ya serikali
 
Kwa sababu hawakujua wapi pa kupata haki ikizingatiwa na kipindi kile elimu kuhusu haki zao ilikuwa wengi haijawafikia
 
Zama hizo walikua hawana makundi ya wanawake wenzao wa kuwashikia akili...

Kulikua hakuna ma- motivation speakers...

Kulikua hakuna mambo ya Beijing...

Ni wewe na mambo yako na familia yako...

Siku hizi mwanamke anakuporomoshoea matusi ya nguoni alafu anakimbilia polisi kwenye dawati la jinsi kwamba wewe ndiyo umemletea fujo...

Na wanabebana kabisa kwenda kutoa ushaidi wa uongo...

Cc: mahondaw
 
Walikuwa wavumilivu. Karibu tena. Bila shaka umejifunza kitu. Haina haja ya kutukanana. Tuchangie hoja kwa heshimiana.
Ni kwanini Wanawake wa siku hizi hawana tena Uvumilivu wa Kuhimili Vipigo Vitakatifu (vya Kishalubela) kutoka kwa Wanaume wakati Mama zao walikuwa wanaweza na tena wakipigwa ndiyo walikuwa wakiongeza Mapenzi kwa Wanaume na wala walikuwa hawalii na hawatangazi kwa Watu?
 
Kwani kina Chris Mauki walikuwapo enzi hizo?
 
Kweli kumpiga mwanamke sio Jambo Jena kabisa Wala halipendezi kwenye familia lakini saa zingine kipigo ni connection nzuri yakuleta upendo mpya na utii kwenye nyumba.

Kuna mtu huwa naishi nae ni mbishi kuelewa Sasa huwa namueleza Ila ikifika mwaka au miez nane hivi memory ya uvumilivu inakua full sa inabidi kuondoa hzo memory kiukweli huwa nikimfanyia hicho kitu anarud anakuwa msikivu na mtii Ila ukipita muda anarudi tena kulekule juzi juzi hapa nilimpa tena Cha saiz kubwa kidogo Sasa wameungana familia nzima eti wakae nae kwao Mimi simpendi hapa nlipo nawaangalia tuu sema watoto ndo nawaonea huruma japo kaanza kujiongelesha Ila akirudi tuu hyo siku lazima nimpokee kwa kibano ili ajifunze au arud tena kwao.

Wanawake wasiku hizi akili hawana wanawasikiliza kina Grace Kiria ambapo anasema kabisa ameachika ndoa mbili na haoni Kama n tatizo huko tunapoelekea single mothers watakuwa wengi Sana
 
Wanawake wa leo tuna silaha kubwa inaitwa financial freedom. Yani nimesoma nina kazi nina pesa inayonitosha kula vizuri kuvaa vizuri na kulala pazuri alafu nikae navumilia ujinga eti mwanaume anipe kama kanizaa yeye.... wanawake wenzangu tafuteni pesa hawa wanaume ni wapuuzi sana.
 
Kweli kumpiga mwanamke sio Jambo Jena kabisa Wala halipendezi kwenye familia lakini saa zingine kipigo ni connection nzuri yakuleta upendo mpya na utii kwenye nyumba.

Kuna mtu huwa naishi nae ni mbishi kuelewa Sasa huwa namueleza Ila ikifika mwaka au miez nane hivi memory ya uvumilivu inakua full sa inabidi kuondoa hzo memory kiukweli huwa nikimfanyia hicho kitu anarud anakuwa msikivu na mtii Ila ukipita muda anarudi tena kulekule juzi juzi hapa nilimpa tena Cha saiz kubwa kidogo Sasa wameungana familia nzima eti wakae nae kwao Mimi simpendi hapa nlipo nawaangalia tuu sema watoto ndo nawaonea huruma japo kaanza kujiongelesha Ila akirudi tuu hyo siku lazima nimpokee kwa kibano ili ajifunze au arud tena kwao.

Wanawake wasiku hizi akili hawana wanawasikiliza kina Grace Kiria ambapo anasema kabisa ameachika ndoa mbili na haoni Kama n tatizo huko tunapoelekea single mothers watakuwa wengi Sana

Namuonea huruma sana huyo mwanamke wako. Itakua ni mama wa nyumbani tu golikipa. Ndo mana una jeuri na kiburi. Kama mjeuri si umrudishe kwao? Si mnasema kila leo wanawake ni wengi kuliko wanaume kwanini unahangaika na huyo ?
 
Huyo mwanamke wa kumgrab labda awe anatokea Tanga. Kama ni mtu wa Kanda ya Mbeya au Iringa unaweza jutia maamuzi yako.😂😂😂
Kuna ex wangu nilikua nikimfanyia ujeuri tunaweza kulala hata mwezi hanigusi 😂 hata nimtege vipi 😂😂😂 basi nilijifunza adabu na heshima maana alikua anajua kunifikisha kilele cha mlima kilimanjaro.
 
Namuonea huruma sana huyo mwanamke wako. Itakua ni mama wa nyumbani tu golikipa. Ndo mana una jeuri na kiburi. Kama mjeuri si umrudishe kwao? Si mnasema kila leo wanawake ni wengi kuliko wanaume kwanini unahangaika na huyo ?
Nyie ndo wale wanawake bogaz mwanzo wa mahusiano huwa na mapenzi mazuri Sana Ila ujinga mkiishi Wawili ndani ndo mnaanza upumbavu mnasahau ile ukimya na upendo wa mapenzi ya uchumba.

Mwanamke ukutumia falsafa ya mdomo mmoja na masikio mawili hutopigwa Wala kuguswa zaidi ya neema kuzidi kwenye nyumba yako na mmeo.
 
Bogaz kwasababu siwezi kuvumilia kipigo? Acha tu niwe bogaz lakini siku mwanaume ananipiga ndo mwisho wa yeye kuugusa mwili wangu.
 
Back
Top Bottom