Ndio Mana mdoa zimekushinda. Tumia akili kuishi na watu, huwi mwanaume kwa kuonea mwanamke, Kama wewe kidume pigana na wanaume wenziwe huko kupigana na njia tofauti ni udhaifuMchanya
Umeandika mengi madini ila hitimisho lako ukakasi, yaani uishi miaka yako yote ukijifunza kuhusu kiumbe mwanamke..!!
Siku mkijua thamani ya mkong’oto mtakuja kunishukuru, hizi ndoa zenu uchwara mnazoitana bebi bebi nyingi ni tiamaji tiamaji... haki sawa imekuja kuharibu ladha ya ndoa kila mmoja anaishi ‘kivyake’ ndani ya nyumba.
cc: jina langu
Naked truthZamani kuolewa ilikuwa ni career, utaondoka kwenye career yako kwasababu ya kipigo?
Pili talaka ilikuwa ni mkosi, yaani binti wa Mzee Kheri ameachika, mbona utawaweka wazazi wako katika hali ngumu kwenye macho ya jamii.
Leo er GENTAMYCINE anipige wakati ninakibarua changu na Nina uwezo wa kulipa kodi ya chumba na sebule.
Malezi yamekuwa duni ndiyo maana hawakubali kupigwa? Hehe...Karibu tena mkuu Genta.
Nadhani sababu ni nyingi, miongoni mwao ni;
Malezi yamekua duni sana siku hizi
Pili, hizi movements za haki sawa nazo zimechangia kuamsha awareness zao...kwa baadhi in a positive way ila kwa wengine negatively.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Mana mdoa zimekushinda. Tumia akili kuishi na watu, huwi mwanaume kwa kuonea mwanamke, Kama wewe kidume pigana na wanaume wenziwe huko kupigana na njia tofauti ni udhaifu
mlevi mmoja wewe😏😏Mwanamke usimpige mpe ela bandia ataenda pigwa sokoni
Yani Nani avumilie upumbavu wenu eti vipigo vilirudisha heshima, hahaaa na nyie upumbavu wenu Nani awapige. Mtu anayepiga lazima kesi imhusu tu hamna namna.Kwa huu ujuaji wenu wanawake mnaouita ‘haki sawa’ oneni matokeo yake, ndoa hakuna tena, ilimradi tu.
Vipigo vilileta uvumilivu na heshima, rudini kwenye misingi yenu asilia sio huko Magharibi mnapokopi hizo haki huku mkijua kabisa hata kwao ndoa hakuna.
Kofi moja tu kesho mke amefungasha, mara naitwa kituoni kwenye dawati la jinsia.... nikapigane na kidume kwani nimeoa kidume.?
[emoji23][emoji23][emoji23]Shenzi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
mlevi mmoja wewe[emoji57][emoji57]
Wakati, malezi na jamii kwa ujumla vinabadilika. Zamani mke kupigwa na mume ilileta picha ya aidha mke ameanza kukosa maadalili ama amesahahu majukumu yake (mfano kupika kwa wakati ama kutenda jambo namna ambayo mume anapendelea) na pia ilileta picha ya kuwa bwana fulani hataki mchezo na ndoa yake. Picha hii ilijengeka kwa jamii yote (wakwe na wanajamii wemgine)Ni kwanini Wanawake wa siku hizi hawana tena Uvumilivu wa Kuhimili Vipigo Vitakatifu (vya Kishalubela) kutoka kwa Wanaume wakati Mama zao walikuwa wanaweza na tena wakipigwa ndiyo walikuwa wakiongeza Mapenzi kwa Wanaume na wala walikuwa hawalii na hawatangazi kwa Watu?
Yani Nani avumilie upumbavu wenu eti vipigo vilirudisha heshima, hahaaa na nyie upumbavu wenu Nani awapige. Mtu anayepiga lazima kesi imhusu tu hamna namna.
Ukiwasha washwa tu upige mtu eti ndoa idumu, na zamani ndoa ilidumu vile hapakuwa na option, wanawake hawakuwa na kipato na walikosa watetezi Sasa Zama hizi acha tu ndoa zife ka ndo hizo za vipigo
Aaawapii hamnalolote 😂😂Na mtanyooka tu [emoji3]
Kipigo kinamtesa sana mwanamke kimwili kihisia na kiakili,, tafuteni adhabu mbadala sio vipigo
We mjane, nimekupa likeHapana, ukiona mwenza kazidisha maneno kuna vitu umepunguza anataka urudishe attention yako kwake, ikitokea hali hiyo grab her tight to your chest then give her a loooong kiss, kisirani kwisha! Ila nyie wanaume zenu ni ngumi mkononi, mnaharibu sana.