Uliambiwa k n moja tuu dunia nzima au mtaa mnapoishi,
Hayo ndo matatizo yanayowasumbua WADADA waleo wanadhan mwanaume anaishi kwa kitu Cha mwanamke tuu ndo Mana nyumba ndogo huwa inatumia muda mfupi kujengewa nyumba na watoto kwenda Shule sababu wanajua nn kinatakiwa.
Thus why Biashara ya ukahaba ni nzuri Sana Yan pay me before na mkiingia kwenye kutimiza majukumu ya malipo kahaba aendi nje ya makubaliano Yan bao moja ni moja tuu ukitaka ongeza.
Sasa ...hii aibu ya kupigwa Hadi kuvunjwa wengine Hadi wanakuwa walemavu..Kuna wanaume wanapiga jamani...yaani akikosewa yeye hajali hata Kama ushamfanyia mema mangapi...Nikipigo kitakatifu..
Uvumilivu uwe na kikomo...Kama ndo na imeshindikana muachane kwa Amani...
Siungi mkono vipondo wala kuvumilia vipondo na pia siungi mkono unyanyasaji wa aina yeyote ile wa kijinsia.Vipondo,kuvumilia vipondo na unyanyasaji wa kijinsia ni ushamba
wanaume wengi wanapenda kulelewa siku izi umpige mwanamke anakuletea ugali hapo na kukupa maisha ni sawa na kuchezea shilingi chooni!!na wanawake walivyo na masimango umpige na ndo anakupa maisha town utasutwa manyoko hadi ufe