Umeolewa?
Ndio maana hauna akili timamu unajiongelesha kama punguani fulani hiviAm confused,help me i dont knw either am married,single or divorced poor me!!
Ndio maana hauna akili timamu unajiongelesha kama punguani fulani hivi
Kwanza sijawahi kupigwa ban, mimi mgeni humu! Labda umenifananisha!Mkuu baada ya kupigwa ban umeamua kuifungua ID nyingine ili utukane watu?
Kwanza sijawahi kupigwa ban, mimi mgeni humu! Labda umenifananisha!
Pili, I'm concerned na maswali yako naona kama una wachukulia wanawake kama sexual objects. Unapo ongelea mambo ya maumbile ya wanawake jaribu ku step back and think about your mother or your sisters! How would they feel if you asked them those kind of questions? Mkuu you need to grow up. I'm sorry if i have offended you but i feel you are out of order and need help.
sawa hamorapa naona unatafuta kiki kupitia mimiHahaa shosti yangu wewe hahaa jana uliniazima lipstic na shedo haujarudisha acha utapeli. Ndio maana unapenda kuandika topic kuhusu wanawake tu(mwanamke mwenzetu wewe una vituko)
Litakalo kukalia sawa we twanga tuKama vile Ndivyo inavyostahili kutamka, lakini kwani yataamka?
au tuseme "Kuanguka, au kushuka?"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha! Hawa jamaa watakuwa ndugu maana wote ni member wa milembe
sawa hamorapa naona unatafuta kiki kupitia mimi
unanipenda eehNdio safi,bonge la kiki