Kwanini wanawake wakishikwa maziwa yanakuwa makubwa lakini wakishikwa makalio hayawi makubwa?

Kwanini wanawake wakishikwa maziwa yanakuwa makubwa lakini wakishikwa makalio hayawi makubwa?

Maziwa kushuka kama ndala au kuwa makubwa siyo kwa sababu ya kushikwa shikwa pekee... Ni kwa sababu ya kuvutwa vutwa na Kunyonywa...

Makalio ya mwanamke hayavutwi vutwi bali yanapapaswa tu...
 
Hahaa shosti yangu wewe hahaa jana uliniazima lipstic na shedo haujarudisha acha utapeli. Ndio maana unapenda kuandika topic kuhusu wanawake tu(mwanamke mwenzetu wewe una vituko)
Ndio maana hauna akili timamu unajiongelesha kama punguani fulani hivi
 
Baada ya panya rodi kuona huu uzi kama nawaona vile wakijaribisha kushika wadada
 
Mkuu baada ya kupigwa ban umeamua kuifungua ID nyingine ili utukane watu?
Kwanza sijawahi kupigwa ban, mimi mgeni humu! Labda umenifananisha!
Pili, I'm concerned na maswali yako naona kama una wachukulia wanawake kama sexual objects. Unapo ongelea mambo ya maumbile ya wanawake jaribu ku step back and think about your mother or your sisters! How would they feel if you asked them those kind of questions? Mkuu you need to grow up. I'm sorry if i have offended you but i feel you are out of order and need help.
 
mbona majuu wanaweka masilcon kwanini wasishikweshikwe nao ili yawe makubwa
 
Kwanza sijawahi kupigwa ban, mimi mgeni humu! Labda umenifananisha!
Pili, I'm concerned na maswali yako naona kama una wachukulia wanawake kama sexual objects. Unapo ongelea mambo ya maumbile ya wanawake jaribu ku step back and think about your mother or your sisters! How would they feel if you asked them those kind of questions? Mkuu you need to grow up. I'm sorry if i have offended you but i feel you are out of order and need help.

Kaka una point sana,big up????

Atafute jibaba limshike mzaa chema alafu alete majibu hapa
 
Ni kama ww vile ukishikwa kibamia chako hakikui..ndivyo hivo na wao kwa matak* yao.
 
Swali zuri swahiba..Ila sipati picha kushikwa makalio yangekuwa yanaongezeka tungepata tabu sana midume
 
Back
Top Bottom