Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nina mapenzi ya dhati kwako
nina mapenzi ya dhati kwako
Mdogo kivipi ?Wewe bado mdogo kua kwanza
Mdogo kivipi ?
1)Ki fikra
2) ki pesa
3)kimaumbile
utathibitishaje vyote hapo juu ?Vyote
utathibitishaje vyote hapo juu ?
Unawafahamu Usalama wa taifa?
unaelewa nini maana ya great thinker?Threads zako zinadhibitisha
Hahahaa so unataka kunitiaha kwa usalama wa taifa pole weee sitishiki mie
unaelewa nini maana ya great thinker?
punguza ukali ,Dogo sipo kwenye interview ujue
Ila anyway ngoja nikusaidie kukujibuDogo sipo kwenye interview ujue
Mkuu vp zile supplementary zako na yule house gelo wenu mmefikia wapYaaah ,ni Brother from another mother
Kwani amefanyaje?
Siwezi kukushangaa tena.Yaaah ,ni Brother from another mother
Kwani amefanyaje?
Umeshatomasa wangapi?Sio kila kitu kipo kwenye vitabu vingine vipo tu wazi vinajulikana
Kwani ni uongo mwanamke ukiwa unamtomasa tomasa maziwa, maziwa yanakuwa makubwa?
Tatizo uvulana mwingiUmeniwahi Mkuu maana huyu jamaa threads zake duh!
Hizo ndio anazoona zinampaisha labdaTuwapumzishe wanawake jamani, kuna issues nyingi za kujadili.
Mumy hujajua wapo baadhi ya wanaume wameshazowea kujiropokeaUna uhakika???
Kajipania mwenyewe huyu ndio mana anaanzisha thread mara zinafungwa bado yumo tu.Leo umewapania kweli kweli