Now and then
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 613
- 1,729
Inatia ukakasi MTU ameshazeeka yupo 30s anakuja kutafuta pension sehemu ambayo hakuwahi kufanya kazi.
Utasikia Mara ohhh nataka awe mchaMungu , Mara awe mrefu mwenye kipato
Are you insane?
Ila kweli jina limeakisi tabia πMtajua wenyewe mi nakula tuu kikubwa kiwe cha kike chenye kupumua...
Haijalishi
The world is cruel to a broke man and the same world is cruel to a woman with no nyashInatia ukakasi MTU ameshazeeka yupo 30s anakuja kutafuta pension sehemu ambayo hakuwahi kufanya kazi.
Utasikia Mara ohhh nataka awe mchaMungu , Mara awe mrefu mwenye kipato
Are you insane?
With no nyash wanaweza ku survive kwenye ndoa sana!The world is cruel to a broke man and the same world is cruel to a woman with no nyash
Yaani wee mwanaume mzima unasota kutafuta hela alafu unaenda kuoa mwanamke no nyash...wat a waste of energyWith no nyash wanaweza ku survive kwenye ndoa sana!
Wachaga wengi Wana survive sana na hawana big nyash kihivyo!uvumilivu tu na adabu na kujua Nini wanataka!
ni mzee kwenye football tu,sio mambo mengne.Miaka 30s ni mzee??
Haijalishi kama ananijua au laa ila mi nachojua ni kula tuuuu aiseeeIla kweli jina limeakisi tabia π
Kumbe 30 ni mzee πππInatia ukakasi MTU ameshazeeka yupo 30s anakuja kutafuta pension sehemu ambayo hakuwahi kufanya kazi.
Utasikia Mara ohhh nataka awe mchaMungu , Mara awe mrefu mwenye kipato
Are you insane?
Unaandika tu na ww kwahyo na maturity yako hujui 30's ndo mwanamke anakua matured kiakiliInatia ukakasi MTU ameshazeeka yupo 30s anakuja kutafuta pension sehemu ambayo hakuwahi kufanya kazi.
Utasikia Mara ohhh nataka awe mchaMungu , Mara awe mrefu mwenye kipato
Are you insane?