Kwanini wanawake wakizeeka ndo wanakuja jukwaa hili kutafuta wenza?

Kwanini wanawake wakizeeka ndo wanakuja jukwaa hili kutafuta wenza?

Inatia ukakasi MTU ameshazeeka yupo 30s anakuja kutafuta pension sehemu ambayo hakuwahi kufanya kazi.

Utasikia Mara ohhh nataka awe mchaMungu , Mara awe mrefu mwenye kipato

Are you insane?
Jamii forum iWE na muongozo WA kuzuia unyanyapaa, udhalilishaji na mashambulio ya kijinsia. Kizeeka hakuna jinsia.
Hivi karibuni kumekuwa na nyuzi nyingi za kuwadhalilisha wanawake, Mods, msiruhusu hili likaota mizizi. Hili NI jukwaa huru Kwa wote
 
Inatia ukakasi MTU ameshazeeka yupo 30s anakuja kutafuta pension sehemu ambayo hakuwahi kufanya kazi.

Utasikia Mara ohhh nataka awe mchaMungu , Mara awe mrefu mwenye kipato

Are you insane?
Mungu akuguse kweli kweli🤣🤣
 
Inatia ukakasi MTU ameshazeeka yupo 30s anakuja kutafuta pension sehemu ambayo hakuwahi kufanya kazi.

Utasikia Mara ohhh nataka awe mchaMungu , Mara awe mrefu mwenye kipato

Are you insane?
Si uwaache watafute ndoa ww inakuuma nini mwanaume mzima
 
Mwanamke miaka 30 ni mkubwa sana,mwanamke anatakiwa aolewe akiwa na 18-24.Zaidi ya hapo huyo mwanamke ni risk sana,kiafya na kiakili ku mu control na kutii kwake ni kazi sana.
Huyo mwanamke awe hajasoma sawa ila kama kafika chuo ni uongo mkuu tunawakanfamiza sana mtu amaloze chuo ajipange atulize kichwa kwa hiyo 18-24 mmmh ni ngumu sana


Fullstop, kwishaaaa
 
Wanaume hatuna tatizo na jinsia pendwa hiyo ya kike.

Huo ndiyo muda wa kula maharage yaliyoiva kwa ufasaha baada ya kurukaruka sana huku na huko.

Kilometers zisome au zisisome ila ikifika kwako kama mpya vile.
 
Ndo hao hao miaka ya mbeleni huja kua mishangazi ya kusumbua vijana kwa kuwachukua na kuwafanya vibenteni
 
Back
Top Bottom