Trigonometry
Member
- Nov 7, 2016
- 56
- 72
Kwanini wanawake wanaamini kwamba mwanaume mwenye gari ndo mume sahihi? Je akili zao ziko miguuni hawa wanawake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninalo nimewala mademu mpaka nimechoka na bado hawajifunzi tuNunua gari na wewe upendwe
Ka Yutong kazuri sana haka, sijui ni ka Fuso? mshana jr nisaidieMbona mimi wanankataaga japokuwa namiliki RANGE ROVER
![]()
Haaaaaaaaa unaua mkuuHivi wewe mwanaume usiye na gari, asubuhi ukipewa lift na mwanaume mwenzako kwenye gari yake mkienda kazini huwa unajisikiaje?
Sasa mkeo akipewa lift na huyo huyo jamaa huwa anajisikia hivyo hivyo kama wewe, sema mara 1000.
Anachowaza kumpa huyo jamaa ni MAJALIWA, ukigundua tafuta SULUHU, ukishindwa mfunge MAKUFULI.
Jiamini mkuu kupigiwa ni siri ya ndani pia moyo mashineHaipiti mwezi lazima uzi wa kuwalalamikia mabinti kupenda magari uje humu. Muache jamani mnanipunguzia imani na mimi kujiamini kwa mai waifu wangu.
Mbona mimi nina njeku [emoji605] na wana kuja...[emoji39] [emoji39] [emoji39]mimi nina magari mbona hamji?
Tatizo kubwa ni kuwa most of the ladies hushobokea material things, tena ni vitu vinavyoonekana machoni kwa urahisi ndio maana mojawapo ni gari. Sasa akimuona mwanaume ana gari lazma ashtuke na kumungalia mara mbilimbilli hata kama yeye pia ana gari tena zuri tu kushinda hilo analoliona kwa mwanaume. Yaani hajiamini kwa kile alichonacho.mnakutana na kuku wa kienyeji nyie, sa mwanamke mwingine ye mwenyewe ana gari hilo lako linamzingua nini?! atakuwa anaweka kalio moja kwako lingine kwake?!?!
Wakati mwingine mwansume ikisubiri kupendwa kama unavyosema mpaka utazeeka. Kwasasa mazingira ya kupendwa yamekuwa adimu na imebakia kutamaniwa.Mnapendwa au mnatamaniwa?