Kwanini wanawake wanalia?

Kwanini wanawake wanalia?

mqdefault-1.jpg
 
Wanawake wako more emotion than men au tuseme ni mara mbili zaidi
Mwanamke anaweza kulia kwa huzuni na pia kwa furaha
Yaani unakuta mwanamke analia kwenye harusi na kwenye kulio
Au unampa zawadi anaanza kulia
Utakuta mwingine anasoma hapa anaanza kulia


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom