Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Hivi kwanini wanalia sana ikitokea habari mbaya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado una baba na mama???Hivi kwanini wanalia sana ikitokea habari mbaya?
Na ndomana mnakufa harakaHata wanaume tunalia sana sema tunaliliaga ndani kwa ndani
Inaweza kuwa ni sababu mojawapo ila kinachoongoza kutuua sisi huwa hatujali afya zetu tunachukulia poa tuNa ndomana mnakufa halaka
Hata mimi akili zangu zilielekea mbaaali sana.Nilivyoona kichwa cha uzi akili yangu ikahama kabisa, yani imeenda kwengine kabisa![emoji2][emoji2]
haraka.Na ndomana mnakufa halaka
Sure ..kitu ambacho ni kibaya sana.Kina madhara makubwa cz tunaficha sana matatizo na uchungu ndani ndani mpaka kutuelemea.Hata wanaume tunalia sana sema tunaliliaga ndani kwa ndani
Hata mimi niliwaza kile kilio kingine.....Nilivyoona kichwa cha uzi akili yangu ikahama kabisa, yani imeenda kwengine kabisa![emoji2][emoji2]