Yaani na ulivyoandika kwa herufi kubwa hilo jina lake nimesisimka...daahh!!!!Kinyonga ni cha mtoto. Ninachojua wanawake wanaogopa JONGOO.
Jongoo anavyochezesha miguu yake atembeapo na ule mwili wake ni mtihani sana kwa mwanamke
Kuna mjomba mende nae hayupo nyuma kwa kuogopwa na wanawakeKinyonga ni cha mtoto. Ninachojua wanawake wanaogopa JONGOO.
Jongoo anavyochezesha miguu yake atembeapo na ule mwili wake ni mtihani sana kwa mwanamke
Mm kuna siku nlimwambia mke wangu, mkamate kuku yeyote hapo bandani umchinje (nlikuwa namwambia hivyo coz nlinua kwa uoga alionao hawezi)Oh wanawake wanaogopa kuku , mende , ng,'ombe ,mbuzi hapo ni kwa uchache tu. Tuwavumilie
Mi bora jongoo kidogo simwogopi, ila kinyonga nachanganyikiwa kbs[emoji30]Hahaha ila hamzidi jongoo jamanii[emoji85][emoji85]
Mimi ukiniletea jongoo kama una mizigo naweza kukubebea mpaka kigoma...simpendi jongoo mimi namuogopaa😔😔Mi bora jongoo kidogo simwogopi, ila kinyonga nachanganyikiwa kbs[emoji30]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa, aiseeMimi ukiniletea jongoo kama una mizigo naweza kukubebea mpaka kigoma...simpendi jongoo mimi namuogopaa[emoji17][emoji17]
Siyo kinyonga tu, hata aina nyingine za mijusi wanaziogopa sana.Huyu ni mnyama anayebadilika rangi,tangu Niko mdogo niliambiwa anajiwe la moto anaweza kukutemea ukafa.,lakini haikuwahi kutokea kuogopa.
Imekuwa tofauti kwa mama zetu,waoga mno kwann lakini
Sent using Jamii Forums mobile app