IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,023
Huyu ni mnyama anayebadilika rangi,tangu Niko mdogo niliambiwa anajiwe la moto anaweza kukutemea ukafa.,lakini haikuwahi kutokea kuogopa.
Imekuwa tofauti kwa mama zetu,waoga mno kwann lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekuwa tofauti kwa mama zetu,waoga mno kwann lakini
Sent using Jamii Forums mobile app