Iringa Native
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 958
- 3,059
Jongoo yupi mkuu kuwa specific!....hawa ambao tumeficha ndani ya zipu ama kuna wengine?Kinyonga ni cha mtoto. Ninachojua wanawake wanaogopa JONGOO.
Jongoo anavyochezesha miguu yake atembeapo na ule mwili wake ni mtihani sana kwa mwanamke
Unaogopa jongoo wote???Mimi ukiniletea jongoo kama una mizigo naweza kukubebea mpaka kigoma...simpendi jongoo mimi namuogopaa😔😔
Kuna majongoo mengine hufungiwa ndani ya zipu....hayo pia unaogopa?Kwani kuna majongoo mangapi??
Bwanaaa usiliite jongoo tutakosa kufaidi wengine...aahKuna majongoo mengine hufungiwa ndani ya zipu....hayo pia unaogopa?
Iiiiiii kweli? Mbona mrembo tu yule! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] , kweli kabisa. Nikimuona mwili unasisimka aisee simpendii
Sent using Jamii Forums mobile app
uwiii, Kinyonga mrembo?, miye simtaki kabisaa🙄🙄
Anabadili rangi za madera yote[emoji23][emoji23]uwiii, Kinyonga mrembo?, miye simtaki kabisaa🙄🙄
hahaa, hapo sasa, afu nishaskiaga stories, eti akikudandia mwilini mfano mgongoni hatoki ,duuh hapo ndyo nikazidisha woga dhidi yake, sihitaji mazoea naye kabisa😀😀
Looooh! Danganya toto zile bwana... Walikuwa wanatuwarn tusicheze nao. Ila wapole tu[emoji23][emoji23]hahaa, hapo sasa, afu nishaskiaga stories, eti akikudandia mwilini mfano mgongoni hatoki ,duuh hapo ndyo nikazidisha woga dhidi yake, sihitaji mazoea naye kabisa😀😀
Hahaaa,ahsante kwa ushawishi mkuu, ila hata hivo sitompenda ng'oo[emoji3] [emoji3]Looooh! Danganya toto zile bwana... Walikuwa wanatuwarn tusicheze nao. Ila wapole tu[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa,ahsante kwa ushawishi mkuu, ila hata hivo sitompenda ng'oo[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa.Kinyonga ni cha mtoto. Ninachojua wanawake wanaogopa JONGOO.
Jongoo anavyochezesha miguu yake atembeapo na ule mwili wake ni mtihani sana kwa mwanamke