Kwanini Wanawake Wanaochiti Ndoa zao huwa ni Intelligent na Sweet kuliko wale Wasiochiti kabisa katika Ndoa zao ambao huwa kama Wamewehuka hivi?

Kwanini Wanawake Wanaochiti Ndoa zao huwa ni Intelligent na Sweet kuliko wale Wasiochiti kabisa katika Ndoa zao ambao huwa kama Wamewehuka hivi?

We jamaa kama umegongewa na umeahindwa kumuacha huyo mwanamke. Kaa nae tu kwa kutulia

Ila acha ujinga wa kuhalalisha ujinga kutokana na ujinga wako
 
Kucheat kunakufanya uishi kama digidigi, kila siku kuna kakitu unafichaficha, mara sms, calls...
 
Kucheat kunakufanya uishi kama digidigi, kila siku kuna kakitu unafichaficha, mara sms, calls...
na ukishajikuta unaanza kufuta futa sms na sim ulizopigiwa trust me hapo hamna mapenzi yan kidudu mtu kasimama katikati na siku si nyingi mtayatimba
 
Back
Top Bottom