Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Hoja kuntu sana.Kwani hao wanaojibadilisha wanataka ndoa?
Wapo wanawake Kwa ajili ya ndoa hawa hawana mambo mengi!
Wapo ambao ni Kwa ajili ya matumizi madogo madogo ndo hao wenye heka heka
Ni swala la mda tu.Mara nyingi kwenye suala la kuoa wanaume tunaangalia tabia na mtazamo wa mwanamke na sio muonekano.
Asilimia kubwa ya wanawake wenye maumbo ya kuvutia huwa tunawatamani lakini hatuwawazii sana kuwaoa na kuishi nao.
Sasa ninashangaa ni kwanini mwanamke aende kujibadilisha umbo wakati hapo atatamaniwa tu na wanaume wengi mitaani.
Mimi najua flat screen upendo unlala hapo, busara inlala hapo wakati mwingine hata sura mnazo lakini ukweli usemwe. Mwanamke mwenye tako anavutia.Unadhani tuliopigwa pasi tukisoma hivi tunajisikiaje?
Hakuna wanaume wa hivyo.Demand Vs Supply!
Wanaume kwa hili nawalaumu nyie jaman. Kuna muda mpaka najisemea wapendeni wanawake kama walivyo tu. Mnawatesa sana, wengine wanavaa vigodoro balaa wananuka kabisa, wengine mawigi, marasta ya kusuka kichwani Yani hawana kujijali, wananuka! Kisa wanaume mnapenda wenye mishepu, wenye manywele mengi kwa kichwa, weupe wa sura, nk.
Siyo vizuri, siyo kwamba nawasema vibaya wanawake wenzangu, ila wanaume acheni hizo! eti oooh "wewe wiser1 paka hata ka mekapu simple, chonga hata nyusi, Mara paka lipstick Mara ooh weka hata kigodoro" For what yaaaniiiiiii......nyie siyo waoajiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanawake wangejuaje kuwa shape ni jambo la muhimu bila ninyi ndugu zetu upande wa baba kuwashobokea..??
Baadhi yenu mna 'simp' mpaka mnatamani mtie busu ardhi waliokanyaga, sahii mnalaumu wao tena..?[emoji23][emoji23]