kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Kuna huu msemo unaelekea kuwa maarufu hasa kwa wanawake.
Unakuta mwanamke kaishiwa labda pesa utasikia anasema "nina Msukuma wangu nitamuomba pesa atanipa" au nina Msukuma wangu ananipenda huyo.
Kwa nini huwa wanapenda kuwataja hao wanaume wao wa kisukuma in reference to their tribe?
Mbona huwa hawasemi nina Mkurya wangu au Mchaga wangu?