Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama baba Yako ila huna aibuKumradhi waungwana ashakum si matusi.....
NI KWA SABABU WASUKUMA WAMEKUWA NDIO NEMBO YA UJINGA,USHAMBA NA UBWEGE KWENYE MAPENZI...... INASEMEKANA MSUKUMA AKIPENDA BASI NI KUHONGA TU....View attachment 3219472
Baba yangu kaingiaje hapa.....??Kama baba Yako ila huna aibu
Wanatusema wasukuma ni washamba cha ajabu Kila sekta kubwa utakuta msukuma yupo Sema mzee wangu Pascal MayallaP
- Kwanza ni kweli sisi Wasukuma ni watoaji wazuri sana wa pesa, na sio tunatoa kwa wanawake tuu, Wasukuma ni vimwaga!, hakuna rais wa Tanzania, amemwaga pesa kama yule Msukuma!.
- Kufuatia wanawake wengi wanapenda pesa, na Wasukuma tuna pesa, kwetu pesa ni makaratasi tuu, tunawamwagia!.
- Ukiondoa kumwaga pesa, wanaume wa Kisukuma ndio tunaongoza kwa kupenda, mi mwenyewe nikiwa RTD enzi hizo mishahara inalipwa dirishani, niliwahi kulipwa na hapo hapo nikaipeleka bahasha yenyewe nzima nzima kwa cheupe fulani hapo hapo RTD!.
- Kufuatia kula vyakula vya kiasili vya kushiba, yale mengineyo... Sii haba!.
- Wazee wetu wa enzi zile, ilikuwa ni mke mkubwa anatafuta wenzake wa kusaidiana! maana...!, ndio unakuta mtu ana wake mpaka zaidi ya 10!, mimi mwenyewe hapa nilipo sii haba!. Niliwahi kumshauri yule Blaza wangu. "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"
Acha uongo
Wasukuma ni Royal tribe...Wanaongoza kwa ufugaji wa ng'ombe, kilimo cha Mpunga, uchimbaji madini .. mwanamke hawezi akamhitaji mwanaume asiye mpambanaji, mwanamke wa leo anahitaji maokoto ili aendeshe maisha na kuhusu wanawake weupe kila mtu anahitaji kuwa na mwanamkd mweupe lasivyo wanawake wasingehangaika kununua karolaiti ku-faki weupe ili muwatamani,Acha uongo
Nitoe kwenye kundi la kutaka wanawake weupe,mimi. Msukuma lakini sijawahi kuvutiwa na hizo ngoziWasukuma ni Royal tribe...Wanaongoza kwa ufugaji wa ng'ombe, kilimo cha Mpunga, uchimbaji madini .. mwanamke hawezi akamhitaji mwanaume asiye mpambanaji, mwanamke wa leo anahitaji maokoto ili aendeshe maisha na kuhusu wanawake weupe kila mtu anahitaji kuwa na mwanamkd mweupe lasivyo wanawake wasingehangaika kununua karolaiti ku-faki weupe ili muwatamani,
Ogwisanga wenakanegene uwe mama wa kasukuma hahaaMimi na wasukuma tu kama samaki na maji
Sio ushamba bwana...hawa wanajua kuwa raha ya dunia ni kugegeda waremboNi washamba wa wanawake a.k.a simp.
Jidanganye,endelea kuamini hivyo hivyo hadi ujikute una wapwa wasukuma.Wasukuma wamesambaa mikao michache tu. Jamii iliyo sambaa sana tz ni wachaga hakuna mji utafika tz ukose mchaga/mangi
MmhOgwisanga wenakanegene uwe mama wa kasukuma hahaa
Bro mwenyekiti hadanganyi! Na wewe mwenyekiti haujadanganya kitu. 😅Wasukuma ni watu wazuri, japo huwa na kaushamba kapo ila ni watu nangai mioyo imenyooka.
Bro binti kiziwi au nasema uongo wizo
Tena akiwa mwanamke Mweupe Msukuma HoiIn my opinion
Wasukuma wanachukuliwa na wanawake kama watu flani wasiojielewa,so ni easy kuchunwa.
Sasa mimi mkurya au mchaga unaanzaje kunichuna kizembe zembe namna hiyo si ntakuambia tu Sina? na msukuma akilegezewa sauti tu huyo anauza ng'ombe kumhonga mwanamke.
Uzuri na lenyewe limekulamba, btw katika wanaume 10 ambao inasemekana wanachunwa ni 2 tu ndo wanachunwa kweli ila wengine utaita unawachuna kumbe wameweka fungu maalumu la kuchunwa na ndio maana hawakomi na hata ukimuacha unakuta uchumi wake haujayumbaLipo moja liko kama zezeta,nimelichuna weeeee halikomi tu.
Tumia lugha nzuri yenye heshima kuwaSio ushamba bwana...hawa wanajua kuwa raha ya dunia ni kugegeda warembo
Ok...wasukuma wanapenda kula vitu vilivyo nonaaaTumia lugha nzuri yenye heshima kuwa
P
- Wasukuma wanapenda kula
- Wasukuma wanapenda chakula kingi cha kushiba.
- Wasukuma wanapenda kula vitu vizuri, vitamu na vinavyovutia.
- Vyakula viangavu, vinawaka waka vinavutia, hivyo Wasukuma wanavutika navyo.
- Mimi mwenyewe ni mfano hai, kiukweli napenda sana kupiga misosi!. Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
Huwezi kusikia shindano la miss Tanzania limefanyika Mwanza!, ma miss hawana deal Mwanza!.Ok...wasukuma wanapenda kula vitu vilivyo nonaaa
Hili nalo neno. So wasukuma ni wandu wa mizigo au sio. Tako tako, titi titi kweli kweli🤣🤣🤣🤣Huwezi kusikia shindano la miss Tanzania limefanyika Mwanza!, ma miss hawana deal Mwanza!.
P