Kwanini Wanawake wanapenda kusema "nina Msukuma wangu" na sio kusema nina Mkurya au Mchaga wangu?

Kwanini Wanawake wanapenda kusema "nina Msukuma wangu" na sio kusema nina Mkurya au Mchaga wangu?

  1. Kwanza ni kweli sisi Wasukuma ni watoaji wazuri sana wa pesa, na sio tunatoa kwa wanawake tuu, Wasukuma ni vimwaga!, hakuna rais wa Tanzania, amemwaga pesa kama yule Msukuma!.
  2. Kufuatia wanawake wengi wanapenda pesa, na Wasukuma tuna pesa, kwetu pesa ni makaratasi tuu, tunawamwagia!.
  3. Ukiondoa kumwaga pesa, wanaume wa Kisukuma ndio tunaongoza kwa kupenda, mi mwenyewe nikiwa RTD enzi hizo mishahara inalipwa dirishani, niliwahi kulipwa na hapo hapo nikaipeleka bahasha yenyewe nzima nzima kwa cheupe fulani hapo hapo RTD!.
  4. Kufuatia kula vyakula vya kiasili vya kushiba, yale mengineyo... Sii haba!.
  5. Wazee wetu wa enzi zile, ilikuwa ni mke mkubwa anatafuta wenzake wa kusaidiana! maana...!, ndio unakuta mtu ana wake mpaka zaidi ya 10!, mimi mwenyewe hapa nilipo sii haba!. Niliwahi kumshauri yule Blaza wangu. "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"
P
Wasukuma hatuna choyo kwa kweli na pesa tunaipata cos kazi tunafanya kwa akili na bidii sana.
Wasukuma tupo juu na tutakaa juu zaidi
 
Wasukuma ni watu poa sana mkuu Hujui tu hayo ya ushamba sijui uzuzu sidhani kama yana maana sana… ukimpata msukuma wako mmoja amesoma, ana biashara yake halafu black weee… mimi nishasema siolewi na kabila lingine zaidi ya msukuma akikosekana basi kanda ya ziwa ila asiwe kimbaumbau

Na huyu msukuma wangu nampenda vibaya mno ila ananisumbua nyoko zake
Unyelile madamo gako

Rudia tena hahaha
 
Hawa majamaa nilisha wapigia saluti.

1.Wanaongoza kwa kuzaliana.
Ni kweli... Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako
Kwa iyo ktk kufuatilia sana apa bongo msukuma anaonekana ni mshamba, zuzu,bwege na kejeli zingine kutokana na utoaji (sio mbanifu) anaofanya kwa makabila mengine.

Mimi nina positive perception kwa awa majamaa,naomba wasukuma msibadilike na sifa yenu nzuri muendelee ivo ivo.
Hatubadiliki!.
P
 
Nasikia huko Mjini, mwanamke akijua wewe ni MPARE Ndio mahusiano yanaisha Hapo Hapo. Duh sijui tumekosea wapi Aiseee


Na wapate nao huwa ni wajanja hujawahi kuzani ,
Wakati wa kutongoza kama anamtaka mwanamke atamhonga Hela nzuri tu atakayokuwa anaombwa lakini akishaoa na kuweka ndani ameshamaliza kazi 😆😆😆
mwanamke utatia akili nakwambia .
Na wanawake wengi Hasa wale wa kuolewa mke wa pili au watatu ndio huongia huo mkenge wakati ukute bimkubwa hana hamu kwa ubahili wa Mwanaume .
Yaani kama ndio mama wa nyumbani ndio utajona 😛😛
Hela ya kula atatoa ya mahitaji ya msingi lakini Eti sijui Naomba Hela nikanunue kile na hiki aaah wapi sahau 😆😆😆
 
Kuna huu msemo unaelekea kuwa maarufu hasa kwa wanawake.

Unakuta mwanamke kaishiwa labda pesa utasikia anasema "nina Msukuma wangu nitamuomba pesa atanipa" au nina Msukuma wangu ananipenda huyo.

Kwa nini huwa wanapenda kuwataja hao wanaume wao wa kisukuma in reference to their tribe?

Mbona huwa hawasemi nina Mkurya wangu au Mchaga wangu?
Kwani hujui maana ya kusukuma?
Huyu hapa👇 anaifanya nini hiyo pump

1738416758843.png
 
In my opinion
Wasukuma wanachukuliwa na wanawake kama watu flani wasiojielewa,so ni easy kuchunwa.
Sasa mimi mkurya au mchaga unaanzaje kunichuna kizembe zembe namna hiyo si ntakuambia tu Sina? na msukuma akilegezewa sauti tu huyo anauza ng'ombe kumhonga mwanamke.
Aisee 😂
 
QUOTE="binti kiziwi, post: 52724380, member: 238649"]
Kwasababu wasukuma wanataniwa kwenye mambo mengi, hata nao hupenda kujitania, anajitaja like tulia hapa kwa li-ngosha na vitu kama hivyo.

So nafikiri ni katika harakati za kuwataja kwa utani waliozeshana.

Best men so far, After watu weupe duniani wanafata Ngosha kwa asilimia nyingi.

Ila ndio wanapenda sketi hao……!
[/QUOTE]
Mimi kama msukuma nakubaliana nawewe kwenye swala sketi mi natamani sana kuacha hzi sketi Ila wewe 🤣
 
nadhani, watani zangu wasukuma hata akizaliwa mjini, ni watu humble sana, rahisi kudanganyika, na mara nyingi hawatumii ubongo, si unakumbuka alivyokuwa jiwe! ukimwangalia kwa makini utajua ni lilimbukeni fulani hivi la kulionea huruma tu. ila majority ni watu wema na hawapendi ugomvi.
 
Wasukuma wana sifa hizi
1. Unapigwa miti hasa🥒 sio hawa wala ndizi sijui kimoja cha kuvizia na wanawapa taabu wanawake wako kut*o*m*bw*a nje. Na wanawake wengi sio wapenda hela wanataka ikunwe labda akina Perry hao wanauza pussy zao, na kweli wasukuma watampiga kwa sababu laki2 atapewa kwa kupigwa siku nzima.
2. Hawa ni Nembo ya Kupenda, akikupenda moyo wake na hela zake zinakuwa kwako. Hapendi mwanamke wake alielie,sio hao wakirya unawezaje mwanamke una sura u date na mkurya? Hiyo sura unaitaka? Na sex na panga kiunoni isipoweka uso wa mahaba unakula mabapa ya panga, ni wanawake wajinga tu ndio wanao, njoo hapo Bunda wasukuma wako kuzalisha Wajita na Wakurya .
3. Wana hela huwezi kuhonga bila salio, wana ng'ombe, biashara ,kilimo olimradi hela hapo ipo wakishapata wanatumia pasipo kujibana. Hela ya mchaga ninya mawazo lkn ni kabila lisilo na nguvu za kiume si unasikia wanawake wao wanavuka borda wanaipeleka Kenya, hao msiwaonee tuwaache ahonge kwa goli moja na kuvizia au aweke mkono tu.
4. Wana maumbo makubwa tall handsome, wanawake wengi wanataka kuzaa nao, huku mtaani wanapiga wake za watu sana, usione hadi hili kabila la wafupi wembamba sasa wana mitoto tall wasukuma hao.
5. Ushamba. Ni mtazamo tu, hata wasukuma wanajua mtu asiyeongea kisukuma ni mshamba tu au mwanaume asiyepiga show ni mshamba tu
Acha uongo
 
Wwe uliwahi Ona maghufuli anatoa hela
Magufuli si Msukuma, alijinadi tu Usukuma.

Wasukuma ni kabila kubwa, sasa kuna vikabila vidogo vidogo vingi vinavyowazunguka Wasukuma, watu wao wakijua kusema Kisukuma tu na wao wanajiita Wasukuma.

Nduo kina Magufuli hao.
 
Back
Top Bottom