Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Wasukuma hatuna choyo kwa kweli na pesa tunaipata cos kazi tunafanya kwa akili na bidii sana.P
- Kwanza ni kweli sisi Wasukuma ni watoaji wazuri sana wa pesa, na sio tunatoa kwa wanawake tuu, Wasukuma ni vimwaga!, hakuna rais wa Tanzania, amemwaga pesa kama yule Msukuma!.
- Kufuatia wanawake wengi wanapenda pesa, na Wasukuma tuna pesa, kwetu pesa ni makaratasi tuu, tunawamwagia!.
- Ukiondoa kumwaga pesa, wanaume wa Kisukuma ndio tunaongoza kwa kupenda, mi mwenyewe nikiwa RTD enzi hizo mishahara inalipwa dirishani, niliwahi kulipwa na hapo hapo nikaipeleka bahasha yenyewe nzima nzima kwa cheupe fulani hapo hapo RTD!.
- Kufuatia kula vyakula vya kiasili vya kushiba, yale mengineyo... Sii haba!.
- Wazee wetu wa enzi zile, ilikuwa ni mke mkubwa anatafuta wenzake wa kusaidiana! maana...!, ndio unakuta mtu ana wake mpaka zaidi ya 10!, mimi mwenyewe hapa nilipo sii haba!. Niliwahi kumshauri yule Blaza wangu. "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"
Wasukuma tupo juu na tutakaa juu zaidi