mzozo wa libya
Member
- Feb 18, 2024
- 35
- 88
😁😁Msukuma yupo radhi akope, aibe, apore, arisk kazi na maisha yake ili ahonge demu mweupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁Msukuma yupo radhi akope, aibe, apore, arisk kazi na maisha yake ili ahonge demu mweupe
Wajichanganye wasukuma siku hzi wamejanjaruka unapigwa tukio mpk unakimbia uchiTunajua kutunza wanawake na tunajua kupenda pia.
Wasukuma ni mabogazi mengi huwa yanatelekeza familia kwaajili ya kuhonga ndo maana familia nyingi za usukumani zimelelewa ujombani wengine hata majina wamebadiliHawa majamaa nilisha wapigia saluti.
1.Wanaongoza kwa kuzaliana.
2.Wanaogoza kwa uzalishaji wa mazao,mfano wanalima sana mikoa ya katavi,moro,mbeya,lindi kigoma na sehemu nyingine.
3.Wamesambaaa mkoa mingi sana,ndo maana mtanzania yyte lazma awa jamaa awajue either urafiki or kimapenzi.
4.Wanapenda kurithisha lugha yao kwa makabila mengine,hawana uchoyo wa lugha.
5.Wafanyabiashara huwa wanafurahi kupata wateja wa kisukuma,coz huwa awana bargaining sana ya bei,kama ameipenda bidhaa yako kutoa hela hawana shida..
6.Suala la mahusiano,awa jamaa wako loyal sana kwa jinsia zote mbili,tatzo la kibongo, mtu akiwa mtoaji sana wa chochote kile unaonekana bwege,fala,mshamba na maneno mengi ya kejeli.Lakin mtu ukiwa sio mtoaji unaoneka mjanja,msela na sifa nyingi pia.
Kwa iyo ktk kufuatilia sana apa bongo msukuma anaonekana ni mshamba, zuzu,bwege na kejeli zingine kutokana na utoaji (sio mbanifu) anaofanya kwa makabila mengine.
Mimi nina positive perception kwa awa majamaa,naomba wasukuma msibadilike na sifa yenu nzuri muendelee ivo ivo.
Hakika msukuma anaweza akawa zuzu kwa wanawake hata 10 kwa wakati mmoja na akajifaidia mbususu zake zote hizo bila tabu na ukichomchoka utajiondoa mwenyewe kwenye circle yake hatokuacha.Kwanini mnasema ni maboya? Mistakes mnazofanya duniani ni kuwachukulia watu for a fool. Nadhani hawa ni kati ya watu wanaojua kulay-low.. na wanajua mahitaji yao wanayoyahitaji kwa KE, Once mahitaji yao yakitimilizwa basi hawana tatizo na wewe as a woman.
Sio walalamishi na wana kitu chao wanachofocus nacho.
Kuna pattern za tabia nimeobserve zinafanana kwa hawa watu… To sukuma men mwanamke ni mwanamke atamtreat kama mwanamke na he will never put himself into a comparison with a woman…
Mnawaona wasukuma maboya kwa wanawake? I think wao ndio wanawaona wanawake maboya 😅😅 Jokes on you!
Kama sio Pascal Mayalla basi ni kaka yakeLipo moja liko kama zezeta,nimelichuna weeeee halikomi tu.
jambo la kutelekeza familia sio kw msukuma tu ata kabila zingine pia huna really justification ya point zako,.Wasukuma ni mabogazi mengi huwa yanatelekeza familia kwaajili ya kuhonga ndo maana familia nyingi za usukumani zimelelewa ujombani wengine hata majina wamebadili
Hata hapa Dar mabinti wengi wa kisukuma wamekimbia ndoa zao mwanza sababu kubwa ni msukuma kuhonga kipato chote Hadi mazao na mbegu Hadi njaa inaingia nyumbani.
Sisi tuaamini mapenzi ya kweli sio pesaWao wapo kusaka hela nyie hela hamtoi
Yes, nakupaje pesa Yangu, Unaijua vile nimeipata?Acha akuache ila Mpare hawezi kukubali atoe hela zake kizembe...Bora abaki single😆😆😆
Sahihi! Wanajua exactly wanachofanya na probably hiyo ndio furaha yao.Hakika msukuma anaweza akawa zuzu kwa wanawake hata 10 kwa wakati mmoja na akajifaidia mbususu zake zote hizo bila tabu na ukichomchoka utajiondoa mwenyewe kwenye circle yake hatokuacha.
Ni washamba wa wanawake a.k.a simp.Kuna huu msemo unaelekea kuwa maarufu hasa kwa wanawake.
Unakuta mwanamke kaishiwa labda pesa utasikia anasema "nina Msukuma wangu nitamuomba pesa atanipa" au nina Msukuma wangu ananipenda huyo.
Kwa nini huwa wanapenda kuwataja hao wanaume wao wa kisukuma in reference to their tribe?
Mbona huwa hawasemi nina Mkurya wangu au Mchaga wangu?
Hayo maneno yakwako wenginehatujabahatika kuyasikia.Kuna huu msemo unaelekea kuwa maarufu hasa kwa wanawake.
Unakuta mwanamke kaishiwa labda pesa utasikia anasema "nina Msukuma wangu nitamuomba pesa atanipa" au nina Msukuma wangu ananipenda huyo.
Kwa nini huwa wanapenda kuwataja hao wanaume wao wa kisukuma in reference to their tribe?
Mbona huwa hawasemi nina Mkurya wangu au Mchaga wangu?
Nasikia huko Mjini, mwanamke akijua wewe ni MPARE Ndio mahusiano yanaisha Hapo Hapo. Duh sijui tumekosea wapi Aiseee