Kwanini Wanawake wanapenda kusema "nina Msukuma wangu" na sio kusema nina Mkurya au Mchaga wangu?

Kwanini Wanawake wanapenda kusema "nina Msukuma wangu" na sio kusema nina Mkurya au Mchaga wangu?

Kuna huu msemo unaelekea kuwa maarufu hasa kwa wanawake.

Unakuta mwanamke kaishiwa labda pesa utasikia anasema "nina Msukuma wangu nitamuomba pesa atanipa" au nina Msukuma wangu ananipenda huyo.

Kwa nini huwa wanapenda kuwataja hao wanaume wao wa kisukuma in reference to their tribe?

Mbona huwa hawasemi nina Mkurya wangu au Mchaga wangu?
Sasa je?! WANAUME wa kisukuma tuko vizuri!
Kutuita washamba ni kutuonea DONGE TU!
 



View: https://www.facebook.com/watch/?v=810601953540378


Wasukuma kazi tuna kazi pevu maana si kwa kuandamwa huku. Ukitoa singo mazazi Wasukuma pengine ndiyo kundi linalofuatia kwa kuandamwa na kutukanwa hapa JF.

Anyway. Njooni huku Misungwi tulime nyanya na kunenepesha ng'ombe halafu tukipiga hela tunatafuta pisi nyeupe yenye tako tunahonga pesa zote zinaisha. Tunakwenda migodini huko au mbugani huko kulima mpunga tukizibananisha tena wembe ni ule ule. Maisha ni haya haya jamani tusipangiane kha! 🙌🙌

1353381_1452971473146.jpg


Na kawimbo haka hapa kazuri burudikeni tu maana hakuna namna 😁😁😁

 
Kwasababu wasukuma wanataniwa kwenye mambo mengi, hata nao hupenda kujitania, anajitaja like tulia hapa kwa li-ngosha na vitu kama hivyo.

So nafikiri ni katika harakati za kuwataja kwa utani waliozeshana.

Best men so far, After watu weupe duniani wanafata Ngosha kwa asilimia nyingi.

Ila ndio wanapenda sketi hao……!
 
Wasukuma wana sifa hizi
1. Unapigwa miti hasa🥒 sio hawa wala ndizi sijui kimoja cha kuvizia na wanawapa taabu wanawake wako kut*o*m*bw*a nje. Na wanawake wengi sio wapenda hela wanataka ikunwe labda akina Perry hao wanauza pussy zao, na kweli wasukuma watampiga kwa sababu laki2 atapewa kwa kupigwa siku nzima.
2. Hawa ni Nembo ya Kupenda, akikupenda moyo wake na hela zake zinakuwa kwako. Hapendi mwanamke wake alielie,sio hao wakirya unawezaje mwanamke una sura u date na mkurya? Hiyo sura unaitaka? Na sex na panga kiunoni isipoweka uso wa mahaba unakula mabapa ya panga, ni wanawake wajinga tu ndio wanao, njoo hapo Bunda wasukuma wako kuzalisha Wajita na Wakurya .
3. Wana hela huwezi kuhonga bila salio, wana ng'ombe, biashara ,kilimo olimradi hela hapo ipo wakishapata wanatumia pasipo kujibana. Hela ya mchaga ninya mawazo lkn ni kabila lisilo na nguvu za kiume si unasikia wanawake wao wanavuka borda wanaipeleka Kenya, hao msiwaonee tuwaache ahonge kwa goli moja na kuvizia au aweke mkono tu.
4. Wana maumbo makubwa tall handsome, wanawake wengi wanataka kuzaa nao, huku mtaani wanapiga wake za watu sana, usione hadi hili kabila la wafupi wembamba sasa wana mitoto tall wasukuma hao.
5. Ushamba. Ni mtazamo tu, hata wasukuma wanajua mtu asiyeongea kisukuma ni mshamba tu au mwanaume asiyepiga show ni mshamba tu
 
Kuna boss wa kabila hilo ye zake ilikuwa ni kugawa vyeo kwa mademu na kuwahamishia kwenye idara zenye posho

ila sasa anakula kwa macho genZ wanamzagamulia. Taasisi zinafeli sababu ya viumbe kama hawa!!

Maboss wa hivi wanaumiza sana watu wenye ufanisi makazini kwa kutaka papuchi...

unamhamisha mtu idara nyeti eti unampeleka stoo Ili pale umuweke demu wako hafu uwezo wa kuzagamua huna madogo wanazakuzagamulia kimyakimya....na huyo demu mwenyewe uwezo wa kazi kisoda
Upunbafu tu.

Mtu anakaa stoo anasoma magazeti na kubeba boksi wakati IQ 180, demu kisoda anatesa wananchi kwa huduma mbovu kule ofisi ya kutumia akili nyingi, jinga kabhisa
 
Kwanini mnasema ni maboya? Mistakes mnazofanya duniani ni kuwachukulia watu for a fool. Nadhani hawa ni kati ya watu wanaojua kulay-low.. na wanajua mahitaji yao wanayoyahitaji kwa KE, Once mahitaji yao yakitimilizwa basi hawana tatizo na wewe as a woman.

Sio walalamishi na wana kitu chao wanachofocus nacho.

Kuna pattern za tabia nimeobserve zinafanana kwa hawa watu… To sukuma men mwanamke ni mwanamke atamtreat kama mwanamke na he will never put himself into a comparison with a woman…

Mnawaona wasukuma maboya kwa wanawake? I think wao ndio wanawaona wanawake maboya 😅😅 Jokes on you!
 
Wasukuma ni watu poa sana mkuu Hujui tu hayo ya ushamba sijui uzuzu sidhani kama yana maana sana… ukimpata msukuma wako mmoja amesoma, ana biashara yake halafu black weee… mimi nishasema siolewi na kabila lingine zaidi ya msukuma akikosekana basi kanda ya ziwa ila asiwe kimbaumbau

Na huyu msukuma wangu nampenda vibaya mno ila ananisumbua nyoko zake
 
Kwasababu wasukuma wanataniwa kwenye mambo mengi, hata nao hupenda kujitania, anajitaja like tulia hapa kwa li-ngosha na vitu kama hivyo.

So nafikiri ni katika harakati za kuwataja kwa utani waliozeshana.

Best men so far, After watu weupe duniani wanafata Ngosha kwa asilimia nyingi.

Ila ndio wanapenda sketi hao……!
Yeah ni the best wana roho nzuri sana ukarimu Upo damuni mimi nawapenda mno
Watu wa show show tu humu tu 😋🤣
 
Back
Top Bottom