Hawa majamaa nilisha wapigia saluti.
1.Wanaongoza kwa kuzaliana.
2.Wanaogoza kwa uzalishaji wa mazao,mfano wanalima sana mikoa ya katavi,moro,mbeya,lindi kigoma na sehemu nyingine.
3.Wamesambaaa mkoa mingi sana,ndo maana mtanzania yyte lazma awa jamaa awajue either urafiki or kimapenzi.
4.Wanapenda kurithisha lugha yao kwa makabila mengine,hawana uchoyo wa lugha.
5.Wafanyabiashara huwa wanafurahi kupata wateja wa kisukuma,coz huwa awana bargaining sana ya bei,kama ameipenda bidhaa yako kutoa hela hawana shida..
6.Suala la mahusiano,awa jamaa wako loyal sana kwa jinsia zote mbili,tatzo la kibongo, mtu akiwa mtoaji sana wa chochote kile unaonekana bwege,fala,mshamba na maneno mengi ya kejeli.Lakin mtu ukiwa sio mtoaji unaoneka mjanja,msela na sifa nyingi pia.
Kwa iyo ktk kufuatilia sana apa bongo msukuma anaonekana ni mshamba, zuzu,bwege na kejeli zingine kutokana na utoaji (sio mbanifu) anaofanya kwa makabila mengine.
Mimi nina positive perception kwa awa majamaa,naomba wasukuma msibadilike na sifa yenu nzuri muendelee ivo ivo.