Kwanini Wanawake wanapenda kusema "nina Msukuma wangu" na sio kusema nina Mkurya au Mchaga wangu?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Kuna huu msemo unaelekea kuwa maarufu hasa kwa wanawake.

Unakuta mwanamke kaishiwa labda pesa utasikia anasema "nina Msukuma wangu nitamuomba pesa atanipa" au nina Msukuma wangu ananipenda huyo.

Kwa nini huwa wanapenda kuwataja hao wanaume wao wa kisukuma in reference to their tribe?

Mbona huwa hawasemi nina Mkurya wangu au Mchaga wangu?
 
In my opinion
Wasukuma wanachukuliwa na wanawake kama watu flani wasiojielewa,so ni easy kuchunwa.
Sasa mimi mkurya au mchaga unaanzaje kunichuna kizembe zembe namna hiyo si ntakuambia tu Sina? na msukuma akilegezewa sauti tu huyo anauza ng'ombe kumhonga mwanamke.
 
Msukuma yupo radhi akope, aibe, apore, arisk kazi na maisha yake ili ahonge demu mweupe
 
Kwa sababu akiwa na Msukuma inakuwa anammiliki kwa asilimia zote hasa huyo mwanamke akiwa mweupe, ndiyo lile neno 'wangu' linapochukua nafasi na kuna wengine hatu kama mtu wake si Msukuma lakini kama ana uwezo wa kumuendesha atakavyo basi anamuhesabu kama ni Msukuma tu.
Ndiyo definition ya wadada/mashangazi/wamama wa mjini.
 
Ni kwa sababu wasukuma ni watoaji na siyo tegemezi wala wezi kama hayo makabila mengine kama wapare na wachaga. Wakurya si unajua ushari wao.
 
Majina mengi ni
Kikoba changu
Ng'ombe wangu
Mgodi wangu
ATM yangu😭
 
Uzi ulitakiwa uishie apa ulishajibu kila kitu
 
akisema nina msukuma wangu, maana yake nina zoba langu, aseme nina mkurya wangu haogopi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…