Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 533
- 845
Kwani nani amesema ni wanawake wote,but pale unapozidi zaidi ya 80-90% basi huwa tunasema wapo hivyo.Ni tabia tu ya mtu mwenyewe haina uhusiano na jinsia yake.
Kwani nani amesema ni wanawake wote,but pale unapozidi zaidi ya 80-90% basi huwa tunasema wapo hivyoNi tabia tu ya mtu mwenyewe haina uhusiano na jinsia yake.
Hakuna sehemu nimesema wanawake woteKwani nani amesema ni wanawake wote,but pale unapozidi zaidi ya 80-90% basi huwa tunasema wapo hivyo
mwanamke huthamini kile unachomfanyia sasa, sio ulichomfanyia. Ukiielewa hii fact hawatakusumbua.Mpe mwanamke pesa mfululizo kwa miezi sita, then mwezi wa saba mwambie hali yako ni mbaya avumilie, mwezi wa nane fanya the same.
Maswali yako yatapata majibu.
Kuna msemo ambao wanaume wengi hupenda kuusema: “Mwanamke ukimpa hela hawezi kukushukuru kama mwanaume akipewa kiasi hicho hicho.”
Lakini je, hii ni kweli au ni uzoefu wa baadhi ya wanaume unaofanywa kuwa sheria kwa wanawake wote?
Tuseme mwanaume amempa mwanamke laki moja, akamshukuru lakini akaendelea na maisha yake kawaida. Je, hiyo ina maana hana shukrani, au mwanaume alikuwa anatarajia kupewa mapenzi, heshima au ukaribu zaidi kwa sababu ya pesa?
Pia, inawezekana mtu akashukuru kwa maneno lakini moyoni asithamini alichopewa. Na mwingine akaonyesha shukrani kwa matendo bila kusema sana.
Maswali yangu kwa wanaJF:
1. Tunajuaje kama mtu ana shukrani za kweli?
2. Kwa nini baadhi ya wanaume huhisi wanawake hawathamini pesa wanazopewa?
3. Je, kutoa pesa kunatengeneza matarajio ambayo hayajasemwa wazi?
Wanawake na wanaume, leteni uzoefu wenu bila kujumlisha kila mtu. 🔥
atakufa huyuMpe mwanamke pesa mfululizo kwa miezi sita, then mwezi wa saba mwambie hali yako ni mbaya avumilie, mwezi wa nane fanya the same.
Maswali yako yatapata majibu.