Kwanini wanawake wanasemekana hawana shukrani wanapopewa hela? ni ukweli au msemo tu

Kwanini wanawake wanasemekana hawana shukrani wanapopewa hela? ni ukweli au msemo tu

1.Moyo wa mtu kichaka
2. Ulishawahi kumtumia mwanaume hela na akakujibu tnx? Ama akahoji kwanini hujamsaidia kiasi alichokuomba(ikiwa pungufu)
3. Kwa kiasi kikubwa ni ndio. Mtu husaidia akiamini kwamba ipo siku atakwama na atasaidiwa. Kama ambavyo mnatoa sadaka na kumuomba mungu awafanikishie mipango yenu

Wanawake wengi sio waongeaji akisema asante unaweza kuta moyo wake umeshukuru
 
Mpe mwanamke pesa mfululizo kwa miezi sita, then mwezi wa saba mwambie hali yako ni mbaya avumilie, mwezi wa nane fanya the same.

Maswali yako yatapata majibu.

Kwahyo wanawake hawana shukran kisa hauna hujaona wanaume ukiwa uko vibaya watu wanakukimbia?
 
Wameshazoea kupokea,shukrani labda hiyo pesa wapewe na wanawake wenzao.

Ya mwanaume wanaona ni haki yao kupewa kwa hiyo hawahitaji kushukuru wala kumbukumbu.
 
Wameshazoea kupokea,shukrani labda hiyo pesa wapewe na wanawake wenzao.

Ya mwanaume wanaona ni haki yao kupewa kwa hiyo hawahitaji kushukuru wala kumbukumbu.

Mwanamke akisema asante na mwanaume akisema asante ipi inamatter
 
Mwanamke hupenda ongezeko la maokoto.. Graph ikishuka tu, kazi unayo.
 
Kuna msemo ambao wanaume wengi hupenda kuusema: “Mwanamke ukimpa hela hawezi kukushukuru kama mwanaume akipewa kiasi hicho hicho.”

Lakini je, hii ni kweli au ni uzoefu wa baadhi ya wanaume unaofanywa kuwa sheria kwa wanawake wote?

Tuseme mwanaume amempa mwanamke laki moja, akamshukuru lakini akaendelea na maisha yake kawaida. Je, hiyo ina maana hana shukrani, au mwanaume alikuwa anatarajia kupewa mapenzi, heshima au ukaribu zaidi kwa sababu ya pesa?

Pia, inawezekana mtu akashukuru kwa maneno lakini moyoni asithamini alichopewa. Na mwingine akaonyesha shukrani kwa matendo bila kusema sana.

Maswali yangu kwa wanaJF:

1. Tunajuaje kama mtu ana shukrani za kweli?
2. Kwa nini baadhi ya wanaume huhisi wanawake hawathamini pesa wanazopewa?
3. Je, kutoa pesa kunatengeneza matarajio ambayo hayajasemwa wazi?

Wanawake na wanaume, leteni uzoefu wenu bila kujumlisha kila mtu. 🔥
Kuna kima mmoja aliniomba mara 2 nimlipie afu 4 za simu ya mkopo nikalipa alivyo niomba mara ya tatu nikamuuliza unadaiwa kiasi gani, akasema 520k nikalipa ili awe free, hakushukuru, nikamuuliaza kama amepata, niliporomoshewa matusi,Mungu anajua

Bahati nzuri nikajaribu ku reverse muamala ukakubali after 3 days pesa yangu ikarud. Leo ananitumia msg anaomba 10k. Nilimuuliza tu kama ana akili timamu, hakujibu.
 
Back
Top Bottom