Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 533
- 845
- Thread starter
- #41
Kuna kima mmoja aliniomba mara 2 nimlipie afu 4 za simu ya mkopo nikalipa alivyo niomba mara ya tatu nikamuuliza unadaiwa kiasi gani, akasema 520k nikalipa ili awe free, hakushukuru, nikamuuliaza kama amepata, niliporomoshewa matusi,Mungu anajua
Bahati nzuri nikajaribu ku reverse muamala ukakubali after 3 days pesa yangu ikarud. Leo ananitumia msg anaomba 10k. Nilimuuliza tu kama ana akili timamu, hakujibu.
Huyo hana akili nzuri