Kwanini wanawake wanasemekana hawana shukrani wanapopewa hela? ni ukweli au msemo tu


Wanawake wengi sio waongeaji akisema asante unaweza kuta moyo wake umeshukuru
 
Mpe mwanamke pesa mfululizo kwa miezi sita, then mwezi wa saba mwambie hali yako ni mbaya avumilie, mwezi wa nane fanya the same.

Maswali yako yatapata majibu.

Kwahyo wanawake hawana shukran kisa hauna hujaona wanaume ukiwa uko vibaya watu wanakukimbia?
 
Wameshazoea kupokea,shukrani labda hiyo pesa wapewe na wanawake wenzao.

Ya mwanaume wanaona ni haki yao kupewa kwa hiyo hawahitaji kushukuru wala kumbukumbu.
 
Wameshazoea kupokea,shukrani labda hiyo pesa wapewe na wanawake wenzao.

Ya mwanaume wanaona ni haki yao kupewa kwa hiyo hawahitaji kushukuru wala kumbukumbu.

Mwanamke akisema asante na mwanaume akisema asante ipi inamatter
 
Mwanamke hupenda ongezeko la maokoto.. Graph ikishuka tu, kazi unayo.
 
Kuna kima mmoja aliniomba mara 2 nimlipie afu 4 za simu ya mkopo nikalipa alivyo niomba mara ya tatu nikamuuliza unadaiwa kiasi gani, akasema 520k nikalipa ili awe free, hakushukuru, nikamuuliaza kama amepata, niliporomoshewa matusi,Mungu anajua

Bahati nzuri nikajaribu ku reverse muamala ukakubali after 3 days pesa yangu ikarud. Leo ananitumia msg anaomba 10k. Nilimuuliza tu kama ana akili timamu, hakujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…