j_h_kirigini
Senior Member
- Dec 31, 2015
- 138
- 61
🤣 🤣 🤣 🤣Kungwi mwenyewe anayemfunda mwali hana mume
Tunafanya mnajtia vipofu1. lala nae (muhimu kuliko yote)
2. mlishe ashibe
3. muheshimu
4. mwache awe na amani
5. usimuingilie katika mambo yake.
ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
Alafu afanye ile hiiii kama ya JPMJiulize kwann Mke wangu hanifanyii haya Matano? Akikujibu fyongo jipige kifuani mara 3 halafu sema Mimi ni Bwege "kwa sauti ya JPM"
nmechekaaaAlafu afanye ile hiiii kama ya JPM
ndo ujue mna changamoto zenu sio kutubandika mabango kila siku wakat tunajua majukumu yetukwa hakika ukifanya hayo matano bado mwanaume akakusumbua mwanaume wako anamapungufu zaidi ya mwanaume wa kawaida, kwa ufupi atakusumbua
nikisema ntaonekana najisifia, we jua yanafanyikanew gal, wewe unayafanya yote hayo matano?
Hayo mambo yenu Ni yapi ambayo mume hatakiwi ayajue??!Ni wanawake wako. Sie wengine ututoe. Kwanza nyie ndo kutwa kufatilia mambo yetu
Broo kama wewe hufanyiwi wenzio tunafanyiwa na ziadawewe unafanyiwa yote hayo na mkeo?
Wewe mume una mambo gani mkeo hatakiwi kuyajua?Hayo mambo yenu Ni yapi ambayo mume hatakiwi ayajue??!
Wanawake wa kizazi hiki mnaudhi Sana.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Naelewain fact mwanamke mwenye busara hamfatilii mwanaume kabisa, atafatilia tu kujua usalama wake (mf. kuuliza kama yupo salama akiwa amechelewa kurudi nyumbani na sio kuuliza uko wapi unafanya nn)
Aaah wapi kungwi kapigwa chini ndoa imemshinda,labda kungwi anajua mpaka kapitiliza hafai tena kuwa mke bali kungwi tu,