kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,340
- 12,055
Umejibu kama mwalimu Kashasha[emoji38][emoji38][emoji38]Hzo Nguo huwasaidia kupunguza michubuko kwenye mapaja pia husaidia kupunguza mtetemo wa makalio
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejibu kama mwalimu Kashasha[emoji38][emoji38][emoji38]Hzo Nguo huwasaidia kupunguza michubuko kwenye mapaja pia husaidia kupunguza mtetemo wa makalio
Unauhakika gani kama ameenda shule?Hilo si jibu la mtu aliyeenda shule
Jibu kisomi
Sent by IPhone
Hii nguo inafaida gani kwa wanawake skin Tait kwanini hasa ivaliwe mbona zamani walivaa underskirt kwanini wameacha underskirt wamerukia skin Tait hili swali linaniumiza sana.
Sijaenda shule, sio msomiHilo si jibu la mtu aliyeenda shule
Jibu kisomi
Sent by IPhone
Tunavaa kuzuia msuguano wa mapaja na kulingana na aina ya nguo uliyovaa Kama ni nyepesi skin right muhimu. Kila mtu ana sababu zake..za kwangu ndo hizo.hmmm, msaidie mwenzio majibu mkuu
Asante kwa kutujuza, huwa zinawependeza hata hivyoTunavaa kuzuia msuguano wa mapaja na kulingana na aina ya nguo uliyovaa Kama ni nyepesi skin right muhimu. Kila mtu ana sababu zake..za kwangu ndo hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ndio inaongeza maana hiyo na zile vicondom vyao wanaita leggings mie naonaga ndio unaona bonge la vibrationHzo Nguo huwasaidia kupunguza michubuko kwenye mapaja pia husaidia kupunguza mtetemo wa makalio
Msuguano wa mapaja kivipi au nyie hamna ile thigh gapTunavaa kuzuia msuguano wa mapaja na kulingana na aina ya nguo uliyovaa Kama ni nyepesi skin right muhimu. Kila mtu ana sababu zake..za kwangu ndo hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali ni zuri zaidi kwa aliyebuni na kutengeneza hizo nguo.Hii nguo inafaida gani kwa wanawake skin Tait kwanini hasa ivaliwe mbona zamani walivaa underskirt kwanini wameacha underskirt wamerukia skin Tait hili swali linaniumiza sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji31][emoji3][emoji31][emoji3]
Tunatofautiana maumbileMsuguano wa mapaja kivipi au nyie hamna ile thigh gap
Kivipi?[emoji3][emoji31][emoji3][emoji31][emoji3]
Acha kukaa kihasara hasara
Unanikumbusha mbali we acha tu. Enzi hizo ukishamvua mtu gauni umebakiza underskirt, mkiingia 4 x 6 ndio anaivua halafu unafaidi asali nyama nyama. Yaani kuaminiana 100%. Kipindi hicho mambo ya chumvini wala tigo hamna. Ni simu za kawaida tuMzee shkamoo....dah underskirt...!!??😬😬
Majibu yako kiboko
Mkuu asee.Ajabu sehemu za baridi kama.mbeya hawavai lakini dar wanaamka na hizo nusu suruali.
Sent using Jamii Forums mobile app