Kwanini wanawake wasio na chura wana heshima sana?

Wanakuwa na heshima vile hawana chura hyo ni defence mechanism yao, in short Wana fake ili kufidia udhaifu wa flat screen
mkuu kama unayo naomba maongez special.
 
Piga Kelele kwa Chura Akeeeeeee!!! Weiweeeeeeeeeee!!! Chura hiyo Kwiooooo!!!
 
Sasa chura hatuna na adabu pia tukose[emoji134][emoji134][emoji134]
Mungu hakunyimi vyote mr madas.
 
Sasa chura hatuna na adabu pia tukose[emoji134][emoji134][emoji134]
Mungu hakunyimi vyote mr madas.
kwa hiyo nyie mungu kawapa heshima kawanyima chura?
 
Madai ya mtoa mada ni ya uwongo!
Na wanawake wanaolingia chura ni wajinga tu!
Sidhani mtu awe mnene, flat screen mwenye chura Kama hana malezi Bora lazima awe kichomi, mbona Kuna watu sura zao hazivutii na wanajiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…