Kwanini wanawake wengi hawaolewi?


1.
wanawake wengi wanaamini ndoa ni chanzo cha sehemu ya kujikimu kimaisha, hivyo inapelekea wakifanikiwa kimaisha wanaona mwanaume/ndoa haina faida tena kwake.

2.wanawake wengi wanaringa sana wanapokuwa kati ya miaka 17-25, wakati bado wana mvuto halisi.

wakifikia umri wa miaka 26 na kuendelea ndo huanza kuhangaika kuolewa
NA
ndio wakati wa mwanaume kuanza kumtaftia thamani ya uchakavu (Depreciation cost) na kuishia kukosa soko La NDOA.

3.wanaume huwa tuna tamaa za kimwili tu (chapa-sepa).
 
Very simple wanaume wa naendeshwa miemko wanawake kwa matamanio hasa vitu
 

hapo kwenye pinki umenigusa mtima
 
Haya Sasa nadhani tushampata mmoja ambaye haolewi, huyu apa

Yap, habari sina, najimudu kimaisha, sihitaji maigizo ya ndoa maisha haya, siolewi na sina habari ya kuolewa.



Hizo ni sisababu ndani ya sababu kuu moja, wanawake wameenda shule na wanajiweza kimaisha over.

hapo kwenye pinki umenigusa mtima

Aitheeee!!
 
Straight question straight answer; wanawake wengi hawana qualities za kuwa wake, tofauti sana na MAMA zetu. The current generation is purely Hopeless..., hakuna wanawake wa kuowa siku hiz, ni wachache sana sana... sorry to say this..,

Ipo both sides..wanaume pia ni majanga dot com
 
Hizo harusi za kila cku..hamzioni jamani? Kumbi za harusi cku hizi kupata ni shida. Ndoa nyingi tu hazina sherehe watu wanachukuana tu. So wanawake wanaolewa bwana. Hao wanaolalamika hawaolewi wana matatizo yao binafsi

Nafuu umejibu vizuri bila chembe ya jazba na hasira
 

Beijing
 
Yap, habari sina, najimudu kimaisha, sihitaji maigizo ya ndoa maisha haya, siolewi na sina habari ya kuolewa.




Hizo ni sisababu ndani ya sababu kuu moja, wanawake wameenda shule na wanajiweza kimaisha over.



Aitheeee!!

Siohuna habari sema watu hawana habari nawewe... Wanaolewa watoto wawafalme na pesa zao zote wewe na vishilingi vyako vya madafu kelele kibao
 
Kwasababu wanaume wengi ni wazembe na hawana pesa, pia kumbuka wanawake ni wengi kuliko wanaume, mnakufa kufa tu bila utaratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…