Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa sababu hakuna wanaume wa kuwaoa ....ha ha haAti unasemaje????? Ongea kwa sauti usikike halafu kama nakufahamu vile kama siyo kukujua? Ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kuwa na mume ujinga mtupu na kuwa na pesa kipi heshima??????? kuekeza ngono tu, heshima pesa maisha haya.
Kuwa na mume ujinga mtupu na kuwa na pesa kipi heshima??????? kuekeza ngono tu, heshima pesa maisha haya.
Utafiti anzia kwenye familia yako, jiulize je dada zako, mabinamu, wadogo zako hawajaolewa kama jibu ni ndio basi kunatatizo.
Zaidi ni kwamba mtu kulilia kuolewa ni yeye na kiu yake, usijumlishe kwamba wanawake hawaolewi wakati kuna watu wameoshewa mpendwa pendwa kila siku ndoa zinafungwa,
Pia lazima ufahamu kuna wadada wamejipanga kimaisha na hawana haja ya kuolewa zaidi akitaka dyudyu! Anamtu wake anamdunyua.
Wanawake wa sasa kazi na pesa, dyu!dyu baadae

Haya Sasa nadhani tushampata mmoja ambaye haolewi, huyu apa
1.
wanawake wengi wanaamini ndoa ni chanzo cha sehemu ya kujikimu kimaisha, hivyo inapelekea wakifanikiwa kimaisha wanaona mwanaume/ndoa haina faida tena kwake.
2.wanawake wengi wanaringa sana wanapokuwa kati ya miaka 17-25, wakati bado wana mvuto halisi.
wakifikia umri wa miaka 26 na kuendelea ndo huanza kuhangaika kuolewa
NA
ndio wakati wa mwanaume kuanza kumtaftia thamani ya uchakavu (Depreciation cost) na kuishia kukosa soko La NDOA.
3.wanaume huwa tuna tamaa za kimwili tu (chapa-sepa).
hapo kwenye pinki umenigusa mtima
Straight question straight answer; wanawake wengi hawana qualities za kuwa wake, tofauti sana na MAMA zetu. The current generation is purely Hopeless..., hakuna wanawake wa kuowa siku hiz, ni wachache sana sana... sorry to say this..,
Hizo harusi za kila cku..hamzioni jamani? Kumbi za harusi cku hizi kupata ni shida. Ndoa nyingi tu hazina sherehe watu wanachukuana tu. So wanawake wanaolewa bwana. Hao wanaolalamika hawaolewi wana matatizo yao binafsi
Habari zenu.
Jana nilikuwa mgahawa fulani hapa mjini. Katika story story kuna dada akaanza kulalamika umri unazidi kwenda na hawapati mwenza na wengine wanaanza kulalamika pia juu ya kutopata wenza.
Nahitaji kujua ni kwanini hawaolewi?
Naomba tuchangie mada
Yap, habari sina, najimudu kimaisha, sihitaji maigizo ya ndoa maisha haya, siolewi na sina habari ya kuolewa.
Hizo ni sisababu ndani ya sababu kuu moja, wanawake wameenda shule na wanajiweza kimaisha over.
Aitheeee!!
Kwasababu wanaume wengi ni wazembe na hawana pesa, pia kumbuka wanawake ni wengi kuliko wanaume, mnakufa kufa tu bila utaratibu.
Hahahaaaa! Kwani uongo paulo? Si uzi wa jana ulisema!