Kwanini wanawake wengi hawaolewi?


safiiii kabisa!! ,
 
Kuolewa Sio Lazima ila inaongeza Heshima. KUWA NA MUME KUNA HADHI YAKE.

ni heshima au hadhi kwa kujiongezea majukumu kwa kuolewa? bora ingekuwa ajira napigania kupandishwa cheo hapo ningeona umhimu wake kwani kipato kitaongezeka na maisha yataboreka, kuolewa ni kujiongezea mvurugano wa akili tu!
 
Straight question straight answer; wanawake wengi hawana qualities za kuwa wake, tofauti sana na MAMA zetu. The current generation is purely Hopeless..., hakuna wanawake wa kuowa siku hiz, ni wachache sana sana... sorry to say this..,

Kama ambavyo hakuna wanaume wenye qualities za kuoa kama baba zetu, wanaume ni wachache sanaaaa siku hizi, achilia mbali wale ambao ni wanawake wenzetu(mashoga na marioo)
 
Jibu Mubashara Hili Hapa


Mwanamke anapigiwa simu kwa namba ngeni, anauliza namba yangu umeitoa wapi? Usiponiambia aliyekupa usinipigie. _HAPO UMEPISHANA NA MUME_

Mwanamke anaingia ndani ya daladala, amekaa na mwanaume, kwa maringo, anachukua earphone na kuweka masikioni na kuwasha mziki ili asiongeleshwe. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke anasalimiwa njiani, anaitikia, akiongeleshwa tena anachuna. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke unatumiwa meseji inbox, hujibu. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke unapigiwa simu na mwanaume, unaona kabisa anakupigia ila hutaki kupokea tu. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke unakwenda gheto kwa mwanaume, una mkoba wako, ukifika muda wa kuondoka unaomba nauli. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke unakwenda kwa mwanaume, badala ya kusonga ugali, cha kwanza unataka chipsi kuku. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke unaanza uhusiano na mwanaume, siku ya pili tu unamwambia bebi sina hela ya vocha. _HAPO UMEPISHANA NA MWANAUME._

Mwanamke upo na mwanaume, anakwambia agiza chochote, bila kujishtukia unaagiza bia. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke unachati na mwanaume, chatting zako ni K, P, Pw. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke unaweka picha mapaja wazi, kifua umebust. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

Mwanamke unamwambia mwanaume akutumie video za ngono kwenye simu. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._

_Usilalamike kwamba kwa nini mpaka sasa hivi hujaolewa. Taambie sasa wewe she ni mara ngapi umepishana na mume!_

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu wanaume wengi hawaoi!
 
TRUE STORY...mfano mimi nikisema nioe nina OPTIONS watu kama 10 JE hao kumi naweza kuoa hapana, so hapo mmoja tu ataolewa automaticaly watabaki 9, so haikwepeki yani wako wengi sana.....mfano basi naweza oa wanne..watabaki 5 bado...so unaona hali ilivo..sababu ulizosema ni FACTS
 
Siohuna habari sema watu hawana habari nawewe... Wanaolewa watoto wawafalme na pesa zao zote wewe na vishilingi vyako vya madafu kelele kibao
aisee nilikuwa nawaza nimwambie je maana ila umemwambia inatosha..ametoa majibu ambayo yaleyale yanaakisi thread hii
 
Plus watumia madawa ya kulevya, wafungwa wengi ni wanaume, na wavuta bangi kupindukia
 
Wanawake wengi wa mjini wako hivi,
 
Kama unaela lakin utawafaid sana
 
Unakisiran unavyoonekana una matatizo makubwa ya ki-psychology
 
Hawapi wenza kivip kwan ni mabikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…