Kwanini wanawake wengi hawataki kuzaa?

Kwanini wanawake wengi hawataki kuzaa?

Mshangazi dot com

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
1,345
Reaction score
3,503
Tujipumzishe kidogo na siasa na tuangalie masuala ya kijamii. Kwanini idadi kubwa ya wanawake hawataki kuzaa kabisa au hawataki kuzaa watoto wengi (zaidi ya wawili au watatu).

Je tatizo ni uchumi, kuporomoka kwa misingi ya familia, tamaduni ngeni au kukosekana kwa sapoti ya kutosha kutoka kwa wenza wao (wanaume).

Kwenye mazingira unayoishi na kwa uelewa wako, unaona sababu ni nini?
 
Labda Slay Queens.
 
Wengi uwezo wenyewe wa kuzaa watoto wengi hawana.wengi mayai yalisha poteza uwezo wa kutungishwa mimba
 
Tujipumzishe kidogo na siasa na tuangalie masuala ya kijamii. Kwanini idadi kubwa ya wanawake hawataki kuzaa kabisa au hawataki kuzaa watoto wengi (zaidi ya wawili au watatu).

Je tatizo ni uchumi, kuporomoka kwa misingi ya familia, tamaduni ngeni au kukosekana kwa sapoti ya kutosha kutoka kwa wenza wao (wanaume).

Kwenye mazingira unayoishi na kwa uelewa wako, unaona sababu ni nini?
Wengi wao ni Single mother ndiyo hawataki kuzaa kwasababu mtoto wa kwanza wamezaa nje ya ndoa na hawajaolewa,Sasa unafikiri watakubali kuzaa tena nje ya ndoa?
Ndiyo maana ukimkuta mwanbamke ana miaka 36 ana mtoto mmoja huyo atakua single mother.
 
Kifalsafa maisha ni mahangaiko tu.

Yani hata watoto waliozaliwa katika familia ya Kifalme ya Uingereza kina Harry na William wana migongano. Prince Andrew ana scandals.

Ila, kifalsafa pia, ukishazaliwa, huna budi kuishi tu katika mahangaiko hayo hayo.

Hivyo, kuna watu waneshaona, kitu muhimu kabisa, ni kutozaa.

Kwa sababu, ukimzaa mtu, unamleta kwenye dunia yenye mahangaiko tu.
 
Wengi wao ni Single mother ndiyo hawataki kuzaa kwasababu mtoto wa kwanza wamezaa nje ya ndoa na hawajaolewa,Sasa unafikiri watakubali kuzaa tena nje ya ndoa?
Ndiyo maana ukimkuta mwanbamke ana miaka 36 ana mtoto mmoja huyo atakua single mother.
Kwahiyo inawezekana tatizo ni single mothers kutoolewa, ila kama wangekua ndani ya ndoa basi wangezaa watoto zaidi.
 
Tujipumzishe kidogo na siasa na tuangalie masuala ya kijamii. Kwanini idadi kubwa ya wanawake hawataki kuzaa kabisa au hawataki kuzaa watoto wengi (zaidi ya wawili au watatu).

Je tatizo ni uchumi, kuporomoka kwa misingi ya familia, tamaduni ngeni au kukosekana kwa sapoti ya kutosha kutoka kwa wenza wao (wanaume).

Kwenye mazingira unayoishi na kwa uelewa wako, unaona sababu ni nini?
Nadhani sababu ya kwanza ni Kipato hakikidhi mahitaji ya kumudu gharama ya malezi.

Sababu ya pili-Migogoro ndani ya ndoa.

Sababu ya tatu- wasaidizi ni changamoto kwa wafanyakazi.

Sababu ya nne- tatizo la kiafya kwa wale wanaojifungua kwa Op.

Sababu ya tano- wadada wengi hawataki kuzeeka 😜😜

Sababu ya Sita- Mapenzi ya mbali pia huchangia hilo.
😜😜😜😜
 
Wengi wao ni Single mother ndiyo hawataki kuzaa kwasababu mtoto wa kwanza wamezaa nje ya ndoa na hawajaolewa,Sasa unafikiri watakubali kuzaa tena nje ya ndoa?
Ndiyo maana ukimkuta mwanbamke ana miaka 36 ana mtoto mmoja huyo atakua single mother.
Hata waliopo kwenye ndo mfano mmeoana na mmepanga mnakaa vingunguti chamba kimoja au kimoja na sebule baba yake mchoma chips buguruni hao hao watoto wengi mtawalaza wapi na mtawalisha Nini achia mbali kuwasomesha
 
Tatizo sio kuzaa
Tatizo wakuanzisha nae familia hamna. Na sisi kuwa singo mama hatutaki labda itokee tu bahati mbaya tumeachika ila sio nazaa kimakusudi kabisa na mtu asie na mpango wa kuanzisha familia.
Pia hela ya kumudu mtoto sina wallah
 
Back
Top Bottom